BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
RekebishaKweli
Rekebisha
Cr7 ana gemu nyingi kuliko king Messi.Kipa katokaView attachment 1233739
Mkuu Messi atoke Barca aende wapi?Moja kati ya mambo yatakayomnyima Messi ufalme katika mijadala ya vizazi vijavyo ni kushindwa ku prove uwezo wake nje ya Barca
Unaweza kusema takwimu za goal per match zinambeba Messi
Lakini je, kucheza mechi nyingi katika kiwango cha juu, hiyo pekee sio sifa ya ziada? Je Messi anaweza kucheza kwa kiwango cha Dunia atakapokuwa ana miaka 34 kama anavyofanya mnyama CR700 kwa sasa?
Hilo swali la juu wote hatuwezi kulijibu, kwa kuwa sisi sio wapiga ramli, Hivyo Messi anaweza asifikishe hata hayo 680,kwa kuwa bado hajafikisha.
Messi kuwa na magoli mengi kwa sehemu kubwa amebebwa na probably the best ever group of players ambao Messi amecheza nao pale Barca....... Xavier, Iniesta, Bosquet, Puyol, Ronaldinho & Co.
Je Ronaldo angekuwa kwenye set up ya Barca ile angefunga magoli mangapi? Je Messi angekuwa kwenye set up ya Madrid angeweza hata kufikisha nusu ya magoli ya CR7? Wote ni mashahidi, tunaona anapotoka nje ya Barca (National team) anavyo struggle kuwapa makombe
Ila ukipiga hesabu Messi ana goal nyingi per game kuliko Ronaldo.Cr7 ana gemu nyingi kuliko king Messi.
Messi ukiacha magoli tu ..anakupa vitu vyingi sana...Ila ukipiga hesabu Messi ana goal nyingi per game kuliko Ronaldo.
Jibu lakp lipo comment #11 messi anafunga na kutoa pass nyingi data hizo hapo. We unaongea mawazo yakp kama story za kijiweni unataka kutufikirisha kama unavyofikiri wewe.Unaweza kusema takwimu za goal per match zinambeba Messi