Naona safari hii pia kamkumbuka Ramires. Coutinho vipi?Brazil squad to face South Africa:Goalkeepers: Jefferson (Botafogo), Julio Cesar (Toronto, Canada)
Defenders: Daniel Alves (Barcelona, Spain), Dante (Bayern Munich, Germany), David Luiz (Chelsea, England), Marcelo (Real Madrid, Spain), Rafinha (Bayern Munich, Germany), Thiago Silva (Paris Saint-Germain, France)
Midfielders: Fernandinho (Manchester City, England), Luiz Gustavo (Wolfsburg, Germany), Oscar (Chelsea, England), Paulinho (Tottenham, England), Ramires (Chelsea, England)
Forwards: Bernard (Shakhtar Donetsk, Ukraine), Fred (Fluminense), Hulk (Zenit St. Petersburg, Russia), Jo (Atletico Mineiro), Neymar (Barcelona, Spain), Willian (Chelsea, England)
Naona safari hii pia kamkumbuka Ramires. Coutinho vipi?
Njozi za Ronaldinho na shabiki wake Gang Chomba kumuona akicheza Maracana kwenye kombe la dunia zinazidi kuyeyuka kama donge la barafu kwenye jua kali la Darisalama! Hii ni kufuatia kutoitwa tena katika kikosi cha Selecao na Big Phil. Rejea: Fred added to Brazil squad as Ronaldinho omitted - ESPN FC
Hahahahaa hv gang chomba hajakusia eeeeh
Njozi za Ronaldinho na shabiki wake Gang Chomba kumuona akicheza Maracana kwenye kombe la dunia zinazidi kuyeyuka kama donge la barafu kwenye jua kali la Darisalama! Hii ni kufuatia kutoitwa tena katika kikosi cha Selecao na Big Phil. Rejea: Fred added to Brazil squad as Ronaldinho omitted - ESPN FC
Akiitwa atacheza ngapi ? ,, players are so athletic and focused .. Madogo wa sasa wana mapafu ya mbwa ndo wamem-liplace dinho , mda wa kuanza kupiga kanzu katikati ya uwanja hawataki ... Piga chenga ukiwa na malengo ndo watu wanataka kuona ,
"From tz with true luv"
NB: Imeandikwa na Gang Chomba na kutumwa hapa na Shifta.
mpira ungekuwa mbio basi wakenya, wajamaica na wamarekani wangekuwa kila msimu wa kombe hilo wanabeba wao tu.
Dinho ni mchezaji alieshushwa mahsusi.
Dinho awapo uwanjani basi chochote anakifanya, tofauti na wachezaji wako hao wanaofanya skills kwenye vyumba vya mazoezi na uwani.
Saint Gaucho akifanya vyake basi mbinguni shughuli zoote zinasimama na waliopo huko wanakuwa wanamuangalia...
Chezea Dinho wewe?
Utaarisha
Dinho malaika wameruka , wamepaaa , mara mbinguni blah blah blah ,,,,.. Hii w.cup itahusu classic players kwa maana ya wachezaji cream au bora waliopo sasa hivi ,, mpeleke dinho akachezee mbinguni huko mnakokusema akacheze na malaika lakini sio hii brazil , hii w.cup ya sasa hana nafasi ..full stop
"From tz with true luv"