Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Dinho ni mkali zaidi ya Messi, nadhani kwa miaka 20 iliyopita(1992-2012) wa kumlinganisha na Dinho ni Zizzou peke yake na sio huyu mtumia HGH.
Nakubalian na Elizabeth Dominic kwamba LM anabebwa sana na vyombo vya habari.
LM ana mkataba wa udhamini na Adidas, ambao wana mkataba pia na FIFA, kwa hiyo Adidas wanahakikisha wanatoa mchezaji bora ili kukuza biashara yao. Kwa sasa FIFA ya Blatter iko extremely corrupt. Kwa hiyo wachezaji wanaodhaminiwa na Nike, Puma na Reebok kushinda tuzo itakuwa sio rahisi.
Nakwambia hii era ya Messi itapita tu kama ilivyopita kwa wengine na ukija kuangalia nyuma bila ya kelele zote za sifa utakuja kuona wazi nini watu wanaongelea.
Tutaangalia nyuma na kumuona Messi kama mojawapo wa wachezaji bora na si bora kuliko........hizi Media zinajua sana ku sensationalize kitu na kukiweka juu kionekane bora kupita maelezo ili wauze but looking at raw quality that will last us forever Gaucho ana ladha na ujuzi wa ajabu
Amekiri bila yeye binafsi kujijumuisha, huyu ni mtu mzima na busara zake, hawezi sema yeye ni zaidi ya Messi..! Ni juu yetu sisi tunaoijua soka tuchuja bumba na mchele..! Mess bado sana kumfikia Ronaldino Gaucho..! Tofauti ni kwamba Dhino alikaa kwenye peak muda mfupi ukilinganisha na haka ka-messi.! Pili barca ya ka-messi si ya Dhino, hii imekamilika hata wewe upewe team una uhakika wa vikombe na hutoadhirika kama Aserne Wenger
Sifa tumpe lakini ukweli
lazima tuuseme,,, ronaldinho, ametisha sana miaka ya 2002 to 2006 baada
ya kuja barcelona na miaka hiyo zidane alikuwa anapotelea ndo anastaafu,
ronaldo de lima hakuna kitu anaishia, na del piero ndo kabisaaaa so
hata yeye hakuwa na competitors wenye peak,,,
Messi anaelekea mbele golini, hana mambo ya kuuza sura kama dinho timu
imefungwa lakini dinho anacheka cheka tu,,, messi mtu wa kazi..
Tukatae tukubali messi yupo juu zaidi ya dinho ndo maana wachambuzi
wanamuweka level ya best player of all time..
Messi anawekwa class ya kina pele, maradona...
Wakati ronaldinho anawekwa class ya kina ronaldo original, matheus, na
wengineo lakini sio level ya kina pele na maradona
Hii list lazima itakuwa imechakachuliwa kwa vigezo viwili moja umalaya wa Dhino, pili hakukaa kwenye peak muda mrefu kutokana na kupoteza muda mrefu pale PSG..! Haiwezikani Ronadhino Gaucho asiwepo. Kuhusu itamchukua muda gani Messi kumfikia Dhino ni kwamba ikiwa atafanikiwa kufanya vitu adimu for next 2 years hapo sasa tunaweza kuongea tofauti..! Good thing ni kwamba the guy is still young he can make it..! Nadhani tupo pamoja..!Kwa hiyo ni lini Messi atamfikia Dinho? Siku akichukua tuzo kwa mara ya kumi kama alivyochukua Dinho au?
Nashangaa unajiita unayejua soka, unajua soka gani wewe? Hebu na ujuzi wako wa soka, angalia hii list hapo chini halafu nioneshe jina la Ronaldinho lipo nafasi ya ngapi
Below are the results of a poll by International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) for the best Brazilian player of the 20th century.[SUP][53][/SUP][SUP][54][/SUP]
[TABLE="class: cms_table_wikitable"]
[TR]
[TH]#
[/TH]
[TH]Name
[/TH]
[TH="width: 100"]Career
[/TH]
[TH="width: 40"]Votes
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD="align: left"]Pelé
[/TD]
[TD]1957–1971
[/TD]
[TD]220
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD="align: left"]Garrincha
[/TD]
[TD]1955–1966
[/TD]
[TD]142
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD="align: left"]Zico
[/TD]
[TD]1971–1989
[/TD]
[TD]51
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD="align: left"]Zizinho
[/TD]
[TD]1942–1957
[/TD]
[TD]40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD="align: left"]Arthur Friedenreich
[/TD]
[TD]1912–1935
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Tostão
[/TD]
[TD]1966–1972
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD="align: left"]Didi
[/TD]
[TD]1952–1962
[/TD]
[TD]15
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Leônidas
[/TD]
[TD]1932–1946
[/TD]
[TD]13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9
[/TD]
[TD="align: left"]Nílton Santos
[/TD]
[TD]1949–1962
[/TD]
[TD]12
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Ronaldo
[/TD]
[TD]1994–2011
[/TD]
[TD]12
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11
[/TD]
[TD="align: left"]Romário
[/TD]
[TD]1987–2005
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12
[/TD]
[TD="align: left"]Falcão
[/TD]
[TD]1976–1986
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Rivelino
[/TD]
[TD]1965–1978
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14
[/TD]
[TD="align: left"]Ademir da Guia
[/TD]
[TD]1965–1974
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15
[/TD]
[TD="align: left"]Luís Pereira
[/TD]
[TD]1973–1977
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16
[/TD]
[TD="align: left"]Carlos Alberto Torres
[/TD]
[TD]1964–1977
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17
[/TD]
[TD="align: left"]Domingos da Guia
[/TD]
[TD]1931–1946
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18
[/TD]
[TD="align: left"]Ademir
[/TD]
[TD]1945–1953
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19
[/TD]
[TD="align: left"]Bebeto
[/TD]
[TD]1985–1998
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Jairzinho
[/TD]
[TD]1963–1982
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ronaldo de Lima yupo kwenye hii list na Ronaldinho hayupo, haya sema na hawa IFFHS nao walihongwa na Nike kwa kuwa Ronaldo alivaa Nike.
Sawa kabisa kwani hata majina tu ni tofauti.Dihno alikuwa Entertainer sana na ball juggler zaidi....ukimuona akiwa na mpira unasikilizia lolote linaweza kutokea!!Mercy anacheka na nyavu zaidi na chenga ndogo ndogo za maudhi!
La mkosaji tu hilo.Gianluigi Buffon @"Gazetta dello
Sport":
"I voted for Cristiano
Ronaldo and my vote was given to
Pirlo. I don't know what
happened!"
"I voted for Cristiano Ronaldo, but
according to FIFA my vote went to
Messi. It's a pitty these things
happen''
Hii list lazima itakuwa imechakachuliwa kwa vigezo viwili moja umalaya wa Dhino, pili hakukaa kwenye peak muda mrefu kutokana na kupoteza muda mrefu pale PSG..! Haiwezikani Ronadhino Gaucho asiwepo. Kuhusu itamchukua muda gani Messi kumfikia Dhino ni kwamba ikiwa atafanikiwa kufanya vitu adimu for next 2 years hapo sasa tunaweza kuongea tofauti..! Good thing ni kwamba the guy is still young he can make it..! Nadhani tupo pamoja..!
niliangalia video clip inayoitwa Ronadinho the magician,kuna mmoja alicomment:
C. Ronaldo+Messi=Ronaldinho.
Hivi yaweza kuwa kweli?
A journalist from Indonesia claim
she voted for Xavi, Barcelona
midfielder, but his vote was given
to Messi
(SOURCE ,Real Madrid C.F. Lover's Page)
niliangalia video clip inayoitwa Ronadinho the magician,kuna mmoja alicomment:
C. Ronaldo+Messi=Ronaldinho.
Hivi yaweza kuwa kweli?
La mkosaji tu hilo.
Kukomenti si hata wewe unaweza kukomenti, shida iko kwenye kuchukua tuzo mara 4, tena mfululizo.
Hivi kwa nini Watanzania tunapenda kujivunia ujinga.
Hivi wewe kwa akili yako, ukipewa habari za uhuni wa mke wako na source ikawa ni mwanamke ambaye siku zote anajichekeshachekesha mbele yako ili akutege utaziita hizo habari ni za kweli?
Kwa hiyo kwa akili zako unategemea washabiki wa Real Madrid wampende Messi kwa migoli yoooote hiyo anayowamiminia nyavuni wanapokutana?! Kweli hamna mtu hapa. Mtakuja na sababu za kuokoteza kontena zima, lkn muda napokuandikia huu waraka, Barca keshamduga Malaga 2, shukrani kwake Messi na Fabregas
Gianluigi Buffon @"Gazetta dello
Sport":
"I voted for Cristiano
Ronaldo and my vote was given to
Pirlo. I don't know what
happened!"
"I voted for Cristiano Ronaldo, but
according to FIFA my vote went to
Messi. It's a pitty these things
happen''
niliangalia video clip inayoitwa Ronadinho the magician,kuna mmoja alicomment:
C. Ronaldo+Messi=Ronaldinho.
Hivi yaweza kuwa kweli?