God has a great sense of humor, doesn't He?
Wajifunze kutumia multiple sources for information na sio kutegemea tu FOX; Pia wapunguze kuwa naive, ni ujinga kwa chama kutegemea internal polling system yake kupanga mikakati, kazi hii ni ya other specialized and experienced institutions;
You are very right, but i think this is more to do with Obama's team and not democratic party per se; kama unakubaliana na hili, Chadema kuna uwezekano kweli wa kupata watu ambao watakuwa less selfish and self centred kimkakati na badala yake kushirikiana na wengine wenye mawazo mazuri kusaidia kufanikisha a winning strategy for the party? I doubt it, badala yake, wao kwa wao watazungukana for personal interests;Aisee kuna kitu ambacho nimekuja kukigundua jana ambacho Obama alikifanya vizuri sana; I hope CDM wanaweza kukireplicate nyumbani kabla ya 2015 na wanaweza kukijaribu 2014. Obama campaign ni lazima kuipa heshima yake iliwazunguka republicans kupita kiasi.
democrats watamkumbukaga sana obama maana 2016 hatakuwepo so black n hispanic wanaweza wasipate nguvu ya kupiga kura tena kwa hiyo rais ataenda republican...nahisi wakati wa uchaguzi wa rais watakua wanamtumia obama kuwasaidia washinde maana katika historia ya US hakuna aliyeweza kuhamasisha watu kujitokeza na kupiga kura kama obama..jamaa walikua wanatayarisha mpaka mabasi yanawachukua watu ambao hawana usafiri wanawapeleka kupiga kura...usifanye mchezo...only obama could do that!!
Hapo kwenye red Mkuu!
Hivi huku kwetu inaweza kukubalika chama kibebe watu kwenda kupiga kura itaeleweka kweli? Sasa hivi tunalalama magamba wakibeba watu kwenda kwenye mikutano, sembuse kwenda kupiga kura?!!!
Aisee kuna kitu ambacho nimekuja kukigundua jana ambacho Obama alikifanya vizuri sana; I hope CDM wanaweza kukireplicate nyumbani kabla ya 2015 na wanaweza kukijaribu 2014. Obama campaign ni lazima kuipa heshima yake iliwazunguka republicans kupita kiasi.
Hawa jamaa wanaoishi marekani wanabadilika Kama vinyonga siwaamini kabisaMi ndo hapo mnaponichosha nyie mnaoishi huko marekani..si mlisema romney atashinda nyie...!
jamaa alikua anapiga ramli tu, sometimes huwa anakurupukaMi ndo hapo mnaponichosha nyie mnaoishi huko marekani..si mlisema romney atashinda nyie...!
Aisee kuna kitu ambacho nimekuja kukigundua jana ambacho Obama alikifanya vizuri sana; I hope CDM wanaweza kukireplicate nyumbani kabla ya 2015 na wanaweza kukijaribu 2014. Obama campaign ni lazima kuipa heshima yake iliwazunguka republicans kupita kiasi.