Wananchi wa Rombo Ushiri ngome ya aliyekuwa waziri wa fedha Basil Pesambili Mramba wameizika rasmi CCM kwa vitendo. Wamesema wamechoshwa na chama cha mapanya.
Kiukweli wananchi wanazidi kuangamia kwa kukoza maarifa kwasababu hii chadema kazi yao ni kusema Hapana na kilele nyingi sizizo na tija hakuna maendeleo waliyoleta
Kiukweli wananchi wanazidi kuangamia kwa kukoza maarifa kwasababu hii chadema kazi yao ni kusema Hapana na kilele nyingi sizizo na tija hakuna maendeleo waliyoleta
Tena jiwe la msingi na benders? Chadema mpaka sasa hawana hata kibanda cha kujengea baiskeli au kushonea viatu Rombo nzima, ni kykodisha na kodi hailipwi au la tunajikodishia kama ilivyo makao makuu. Peoples power and demonstration for change jengo la makao makuu ni la nani vile?