Roma aachia bonge la ngoma la kusifu na kuabudu linaitwa Mkombozi

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi

Yule roma mkakoliki ambaye amekimbilia kwa mabeberu leo bhana kaachia ngoma kali sana ya kusifu na kuabudu

Ngoma ni kali sana aisee

Producer bin Laden kapiga bonge la beat

Lakin bado najiuliza kwanini Roma aliamua kubadilisha dini kutoka kuwa mwisilam na kuwa mkristo?

Asanten

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo roma alibadili dini lini? Kabla hajaanza muziki au baada?
 
Siku zote Roma hajawahi kuniangusha kwenye chorus huwa anajua aweke vionjo gani chorus iwe na ladha sio zile chorus za kurudia rudia kama Hainistui, chuchumaa, tetema, Yumba, Sugua na zinginezo zote huwa chorus zinafanana. Big up Roma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom