Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% watz wengi tumejawa na wivu,roho mbaya na husda za laana..achilia mbali ushamba wa karne unao tufanya tuonekane washamba grade A.Hivi unawezaje kutengeneza Rolls-Royce fake na ukaweka kila kitu cha Rolls-Royce kuanzia nje mpk ndani?nimeamini nyani hata ukimvalisha nguo hawezi kufikiri kama mwanadamu kisa umemvalisha nguo za binadamu watanzania ni moja ya watu wenye roho mbaya sana na wivu wa kijinga sana
Yule chizi wa kike tulitegemea kuwa kwake US kwa kipindi kirefu kidogo anaweza kuadopt japo akili kidogo kumbe kavalishwa nguo tu akili zake bado zinawaza kupanda miti na kula ndizi tu
unaelewa ulichoandika mkuuMuda sio mrefu nimeingia kwenye account ya YouTube ya jamaa mmoja anaitwa "FRANK HOLLAND AUTOMOTIVE" nimeona gari kama ile ile ya diamond, Rolls Royce cullinan, rangi ile ile na badge ile ile.
Huyu jamaa ni official dealer wa Rolls Royce na anatambulika,yupo nchini Canada,ingia kwenye hii link
Hapo ndio nimeamini kuwa wabongo wameshikiliwa akili zao na Mange kimambi.Roho ya wivu wa kina Mwijaku h-baba na Mange kimambi imeshawaambukiza watanzania wengi na wao wakaamini kuwa Diamond hawezi kuwa na kitu ambacho wasanii wakubwa kama Davido n.k wanacho.
Hizi picha nime screen shot kwenye video inayoonesha moja ya magari yaliyopo kwenye yard ya Frank Holland,moja wapo ndio hiyo Rolls-Royce cullinan.View attachment 1854766View attachment 1854768View attachment 1854769View attachment 1854770View attachment 1854772View attachment 1854773View attachment 1854774View attachment 1854775View attachment 1854776
Seat za magari zina utifauti, kuna seat ina ku massage, zingine hazina hiyo kitu. Kuna gari unaweza kaa hata km 1000 unafika hadi mgongo wala miguu haimu.. nenda na ist sasa utakoma mbonaGari hili haukai ndani kwa makalio yako? Au seat zina nn au msukani wa bluetooth na matairi ya wi fi?
Umeenda kwenye TRA calculator ukakuta hiyo kodi!?$382k ni sawa na Tshs.878,600,000 kwa rate ya sasa!
Hio gari kuipitisha TPA lazma ilipiwe kodi na kodi za magari za sasa nyingi ni 80% to 110% ya bei ya manunuzi! Tuchukue tu 80% ya bei ya manunuzi sababu gari ni latest.
878,600,000x80 % =702,880,000
Sum up: 878,600,000+702,880,000
Amount ni 1.58B sasa hapo kilichodanganywa ni kitu gani!
Gari hata iwe mtumba! Tafuta gari ya 2018 hata prado tu kisha kokotoa kodi uone kama haiji 80%-110% ya bei ulionunulia huko nje! Kikokotoo chenu ni kichaa kile!Umeenda kwenye TRA calculator ukakuta hiyo kodi!?
Lile gari sio jipya. Hizo bei zilizowekwa pale ni za gari Brand New.
Nadhani hatuhitaji mjadala kujua kwamba lile gari ni jipya ama lah.
Unatafuta ban?Gari hata iwe mtumba! Tafuta gari ya 2018 hata prado tu kisha kokotoa kodi uone kama haiji 80%-110% ya bei ulionunulia huko nje! Kikokotoo chenu ni kichaa kile!
Yani gari ya $55,000 utakuta kodi yake ni $57,000 likiwa ndogo sana utakuta kodi ya $50,000
kwanza huku kote mbali sana tuchukulie IST tu ya mwaka 2018
Wala siiwazi mzeeUnatafuta ban?
We ulijuaje sio Jipya au ulikuwa nae Dubai akilipiaUmeenda kwenye TRA calculator ukakuta hiyo kodi!?
Lile gari sio jipya. Hizo bei zilizowekwa pale ni za gari Brand New.
Nadhani hatuhitaji mjadala kujua kwamba lile gari ni jipya ama lah.