SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Naam.Dah!,kwahyo mnakutana coco ili videm vyetu macho yavitoke
Siku hizi Haji manara ni Mhishimiwa?Karibuni katika tamasha la Rolls Royce Dar es Salaam.
MAHALI: Coco beach,
TAREHE: 29 Oktoba 2025,
MGENI RASMI: Mheshimiwa Haji S. Manara.
Naam Diwani na Mstahiki Meya (Mteule)Siku hizi Haji manara ni Mhishimiwa?
Kwa lipi?
Halaf wavigongeDah!,kwahyo mnakutana coco ili videm vyetu macho yavitoke
Utaiweza nchi hii ilivyojaa upumbavu kila kona???Siku hizi Haji manara ni Mhishimiwa?
Kwa lipi?
Punguza jazba DadaUtaiweza nchi hii ilivyojaa upumbavu kila kona???
Dogo sana sana,
Hakika taifa sasa limekuwa la mataahira,kuna jamii inawaza kumchagua Haji manara kama diwani na mstahiki meya?Naam Diwani na Mstahiki Meya (Mteule)
🚮Punguza jazba Dada
Dah,mkuu,Halaf wavigonge
Kura za nini?Hakika taifa sasa limekuwa la mataahira,kuna jamii inawaza kumchagua Haji manara kama diwani na mstahiki meya?
Huzuni kubwa.
Karibuni katika tamasha la Rolls Royce Dar es Salaam.
MAHALI: Coco beach,
TAREHE: 29 Oktoba 2025,
MGENI RASMI: Mheshimiwa Haji S. Manara.