Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Sasa kwanini ukosoe kitu kizuri jamani,
Yaani anakazana kukosoa wkt wenzake woote wameshamjua km hataki wachini wafanye vzr.Hawa ni wale najua miye tuu wengine noooo.[emoji23]Nimesoma nikaishia kucheka, kwani ukiwa senior au mkongwe kazn ndio huwez kupitwa na ma junior, mbona kawaida tu maofisini jamani, labda ungetueleza scenario zaid zilizowai kukutokea adi kukufanya ugeneralize kukataliwa, otherwise kilichotokea ni kawaida kwa ofcn na kazi ikishafanyika ikakubalika na aliyeitoa(boss) huna haja ya kuikosoa tena labda kushauri tu ikiwa utaombwa kufanya hivyo, vinginevyo tulia fanya kazi usije kujitengenezea mazingira magumu ya kazi bure. Saingine jifunze kuchukulia mambo kama unavyo yaona, usiende deep ili usijiumize bure.
Hakuna kitu kinaitwa kukataliwaHabari za humu wanajamvi,natumaini mpo poa kabisa.Mimi nikijana wa umri miaka 27 mkazi wa hapa Dar es salaam.
Ningependa kushare na nyie hii hali ya kuwa kama nina roho ya kukataliwa hadi najiona mnyonge sana na mwenye mawazo mara nyingi nikiwa natoa mchango wangu either wa mawazo au kitu wazo langu au kitu changu hakipokelewi bali kitachukuliws cha mwingine kabisa.. Hii hali imenitokea ofisini kiasi kwamba nina mawazo tele,ni hivi kuna kazi ambayo boss wangu ofisini alinipa niifanye sasa baadae akasema hii kazi akabidhiwe mtu mwingine kimsingi huyo mtu ni junior wangu aifanye kuimarisha zaidi sasa baada ya yule junior kufanya ile kazi naona maboss wameipenda kila nikijaribu kutoa kasoro ndo kwanza wanaisifia yaani naonekana useless nabaki nawaza tu,nimeona niwashikishe wadau humu kwa ushauria au kama na nyie mnapitia hali kama hizi na mna manage vipi
Habari za humu wanajamvi,natumaini mpo poa kabisa.Mimi nikijana wa umri miaka 27 mkazi wa hapa Dar es salaam.

Jiandae kisaikolojia kwa huyo junior wako kazini kuwa boss wako.kuna mambo huwezi kushindana nayo sababu ni either nguvu za Mungu,or za shetani zimetumika ili MTU kufikia malengo yake kama sio juhudi binafsi.
Kama ni nguvu za Mungu huna budi kuwa mpole tu na kushirikiana nae.kama ni nguvu za shetani kama hutojali madhara yatakayotokea or kulipa gharama unaweza shindana nae ukashinda.
Kama ni uwezo binafsi basi boss wako ameshakusoma kuwa una uwezo mdogo wa kiundaji kuliko huyo junior wako,na kweli iko hivyo.so hapo cha kufanya ni kuonyesha ushirikiano na huyo junior ili busara yako ikusaidie kuendelea kupata heshima kuwa ww ulikuwa ni senior wake kazini japo sio guarantee.
By the way usipende sana mambo ya usenior na ujunior kazini hayana tija sana angalia mpunga ndio kitu cha muhimu na ndicho kitu kilichokuleta hapo.
Yaani anakazana kukosoa wkt wenzake woote wameshamjua km hataki wachini wafanye vzr.Hawa ni wale najua miye tuu wengine noooo.
You are not up to speed!!! JIONGEZE ama sivyo utaendelea kudhalilika na mwisho utafukuzwa kazi!!!
How? Nikaroge?
Ongeza skilsl sets zinazohitajika uwe more productive kazini kwako badala ya kukodolea macho shahada yako uliyoitundika ukuatani!!!
Basi km hivyo umeilezea vibaya na nimeelewa vibayaUsiseme hivyo haijakukuta