Woah.Hallelujah. Hongera sana kwa mafunuo uliyopata juu ya Holy spirit huwezi baki vile vile hata kidogo kwenye maisha yako kiujumla pale unapo surrender kila jambo lako kwake..(Yohana 16:13)Roho Mtakatifu ndio kipind chake sasa,kama kabisa tunatakiwa jua hlo kama mtoa maana ulivosema..bila yy Kwa sasa mamb hayaendi kabisa..
Ushuhuda,, before sijamjua nilikua nakula sana loss ktk biashara yangu ya mikopo na ilifika kipind nataka rudisha lesen na kufunga ofisi sabb watu wanakopa ndio ila ulipaji ni wa kusumbuana sana..
Baadae ya kufatilia maandiko nikapata neema ya kumjua uyu Roho Mtakatifu aiseeee mamb yamebadilika jumla,, before Mtu sijamwidhinishia mkopo naenda kumuuliza nimpe au nisimpe..ananipa majibu yupi apewe mkopo na yupi asipewe..since then sijawah sumbuliwa kurejeshewa na sijawah dhulumiwa tena..afu wateja kama wote..wapinzan wananifatilia wanazan nimepata mganga amenisaidia hawajui nachojua mm nipo nawazooom tuu na sitowaambia Siri!!!
Aminaaaaa...Woah.Hallelujah. Hongera sana kwa mafunuo uliyopata juu ya Holy spirit huwezi baki vile vile hata kidogo kwenye maisha yako kiujumla pale unapo surrender kila jambo lako kwake..(Yohana 16:13)
Kwahakika iko siri kubwa sana katika kumfahamu kwa kina na hapa ndipo ilipo siri ya ukristo na hata namna njema ya hata kufanya ibada zetu mbeze za Mungu..
1 Yohana 5:7-8Nionyeshe Utatu Wa Mungu Kwenye Biblia,Mbona Kama Unatunga Vitu.
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.Nionyeshe Utatu Wa Mungu Kwenye Biblia,Mbona Kama Unatunga Vitu.
Hiki watu wengi hawajakijua. Hakuna miungu mitatu kwenye Biblia ila kuna Mungu mmoja anayejifunza katika nafsi 3 kwa kulingana anataka fanya nini (Mission gani). Aliposema Baba inamaanisha Elohim alipojifunua kama (Muumbaji) aliposema Mwana ina maana Yeheshua (Mkombozi) au Neno katika uumbaji na alipojifunua kama Roho Mtakatifu(Hapa akimaanisha ukamilishaji wa misioni husika) kwenye uumbaji na ukombozi.Nionyeshe Utatu Wa Mungu Kwenye Biblia,Mbona Kama Unatunga Vitu.
Kabla ya kukujibu naomba kukuuliza hivi huwa unapenda kujisomea biblia kibinafsi kwa lengo la kujifunza au kwa lengo la mashindano au hausomi mwenyewe umekalilishwa.?Nionyeshe Utatu Wa Mungu Kwenye Biblia,Mbona Kama Unatunga Vitu.
Ndo Matatizo Ya dini Ya Paulo,1 Yohana 5:7-8
[7]Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.
[8]Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.
Mungu Ni Mmoja Hawezi Exist Kama Kama Roho Mtakatifu pia kama BinadamuHiki watu wengi hawajakijua. Hakuna miungu mitatu kwenye Biblia ila kuna Mungu mmoja anayejifunza katika nafsi 3 kwa kulingana anataka fanya nini (Mission gani). Aliposema Baba inamaanisha Elohim alipojifunua kama (Muumbaji) aliposema Mwana ina maana Yeheshua (Mkombozi) au Neno katika uumbaji na alipojifunua kama Roho Mtakatifu(Hapa akimaanisha ukamilishaji wa misioni husika) kwenye uumbaji na ukombozi.
Mathayo 28:18-20 aliposema Mtawabatiza kwa Jina la Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu akimaanisha Mungu kujifunua katika nafsi tatu kwa kulingana na misioni. Hii ni sawa na Maji. Maji yakiwa kwenye Liquid state ni Maji. Yakiwa kwenye Gas state ni Mvuke na solid state ni Barafu ila yote ni Maji mkuu.
Nijibu Swali Langu Kwanza Hilo suala La Mimi Kusoma Biblia kwa Mashindano au Kukalilishwa Ni Very Personal Najua Kwa Nini Nasoma Biblia.Kabla ya kukujibu naomba kukuuliza hivi huwa unapenda kujisomea biblia kibinafsi kwa lengo la kujifunza au kwa lengo la mashindano au hausomi mwenyewe umekalilishwa.?
Umeingia sehem ambayo huielewi ILa unajifanya kuielewa. Sasa maandiko yanasema mpumbavu aachwe na upumbavu wakeNijibu Swali Langu Kwanza Hilo suala La Mimi Kusoma Biblia kwa Mashindano au Kukalilishwa Ni Very Personal Najua Kwa Nini Nasoma Biblia.
Mimi Sijarithi tu Dini Kwa Wazazi Nimeisoma Nikapima Uzani Nikaiona Haki
Mimi Mwenyewe Sielewi mara Mungu Yupo Kwenye Utatu Ana Nafsi Tatu,Mara Yesu Ndo Mungu Mwenyewe Mara Yesu Yeye Ni Mtoto wa Mungu Mama yake Mariam Yaani TaflanWengi wetu katika mapokeo ya dini na dhehebu tulifundishwa kuhusu Mungu wa nafsi tatu bila kumjua kiundani.
Lakini kiuhalisia aliyeumba ni mmoja tu na sio nafsi tatu.