Ni vema uelewe mapungufu yaliyoko kwenye huo ujumbe... Kwahiyo siku wakivunja masharti kwa mfano na kikatokea kikundi cha wahuni wenye majina ya kiislam, wakaivamia nyumba na kufanya yao hapo utasemaje?HAPO UMECHEMKA.
KILA MTU ANA HAKI YA KUCHAGUA NANI ALITHI MALI YAKE. HALAFU ELEWA MAANA YA KUPORWA.
HEBU PITIA MASHARTI YA WAISLAM JE WANARUHUSIWA KUFANYA HAYO YALIYO KWENYE HAYO MASHARTI.SIO LAZIMA AYAAINISHE
Niupuuzi wa kiwango cha PHDHuu sio ushirikina ni upuuzi... Kuna namna ya kuandika wosia
Kwa wewe utaona ni ujumbe ambao haukukamilika kwani ndio lilikuwa lengo lako hilo. NYUMBA IPO KARIBU NA MSIKITI IKIPIGA MZIKI POMBE UKAHABA BASI ICHUKULIWE NA WAISLAM. KWAI HAPO UNAFIKIRI NI WAISLAM WA MTAANI WALE WA KINA MUDI.Ni vema uelewe mapungufu yaliyoko kwenye huo ujumbe... Kwahiyo siku wakivunja masharti kwa mfano na kikatokea kikundi cha wahuni wenye majina ya kiislam, wakaivamia nyumba na kufanya yao hapo utasemaje?
Hivi kwa akili zako unaona huo ni ujumbe uliokamilika 6na wenye maana sana?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Huyo dawa mnamsubiri akifa hilo tangazo mnaling'oa hapo