Roho mbaya kiwango cha PhD

USIPOTOSHE WATU;
SHART LILILOPO HAPO NI NYUMBA ICHUKULIWE NA WAISLAM.
Wamepewa masharti gani? Upotoshaji uko wapi hapa sasa?
Mtu mzima na akili zake anawawekea wanae masharti magumu ili wayashindwe halafu waporwe haki yao na watu baki kisa tu IMANI, na wporaji wasipewe masharti yoyote wewe unaona ni upotoshaji? Think twice...
 
HAPO UMECHEMKA.
KILA MTU ANA HAKI YA KUCHAGUA NANI ALITHI MALI YAKE. HALAFU ELEWA MAANA YA KUPORWA.
HEBU PITIA MASHARTI YA WAISLAM JE WANARUHUSIWA KUFANYA HAYO YALIYO KWENYE HAYO MASHARTI.SIO LAZIMA AYAAINISHE
 
Huyo Mzee ni mchawi wallah....
Hakuna uchawi hapo.

Kama uyo mzee aliyesisitiza amri hizo ni mchawi basi hata Mungu naye ni mchawi tu.

Bi maana hayo mambo aliyowakataza warithi ni mambo ambayo Mungu pia ameyakataza kwa mujibu wa imani yake.

Sasa hapo uchawi unatokea wapi?
 
Hakuna uchawi hapo.

Kama uyo mzee aliyesisitiza amri hizo ni mchawi basi hata Mungu naye ni mchawi tu.

Bi maana hayo mambo aliyowakataza warithi ni mambo ambayo Mungu pia ameyakataza kwa mujibu wa imani yake.

Sasa hapo uchawi unatokea wapi?
Basi sio mchawi...
Umefurahi sasa...[emoji45] [emoji45]
 
Basi sio mchawi...
Umefurahi sasa...[emoji45] [emoji45]
Basi tufanye huyo mzee ni mchawi kweli.

Kwa sababu ya masharti aliyowapa warithi.

Na wewe umefurahi sasa?
 
Basi tufanye huyo mzee ni mchawi kweli.

Kwa sababu ya masharti aliyowapa warithi.

Na wewe umefurahi sasa?
Naona shuzi lishapata mjambaji sasa....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…