Hii nyumba haijabomolewa kweli? nakumbuka ili tangazo niliona limeandikwa kwenye nyumba moja pale Kibo kabla ya msikiti ukiwa unatoka Ubungo.Tena kwa damu yako mwenyewe View attachment 818143
Hiyo ndo dawa hamna namna😀 😀 😀
Pale ni shina... Ndio uhai wa wanafamilia ulipoanzia... Pana roho moja kuu inayoishikilia familia... Kupauza ama kupatelekeza ni kuua asili au shina...Naomba nikuulize Mshanajr hivi kuna siri gani ktk hili swala la nyumba au makazi wengine wanaita Mji unakuta mara nyingi warithi wakiuza nyumba ya urithi huwa wanapata taabu inakuwa km laana flani hivi, au warithi wakiikacha nyumba (makazi) ya zamani ya wazee wao wanakuwa na mahangaiko hawafanikiwi.
Nina Nyumba ya Urithi kijijini na mimi naishi Dar, nikiwa huku Dar akili mawazo yote yanakuwa kule kijijini (attraction power flani hivi) na mikosi kuniandama (kupotea kwa hela, kuacha kazi na maradhi) nikienda kule huwa nashangaa roho yangu inakuwa na utulivu ingawa nakua sina hela wala shughuli ya kufanya inanichanganya sana hii situationPale ni shina... Ndio uhai wa wanafamilia ulipoanzia... Pana roho moja kuu inayoishikilia familia... Kupauza ama kupatelekeza ni kuua asili au shina...
Nakushauri rudi huko... Future yako na welfare yako viko huko.... Rudi kaanze moja ili upate ruhusa ya kuondoka... Utapate ruhusa? Hiyo sio juu yako kwa sasa...Nina Nyumba ya Urithi kijijini na mimi naishi Dar, nikiwa huku Dar akili mawazo yote yanakuwa kule kijijini (attraction power flani hivi) na mikosi kuniandama (kupotea kwa hela, kuacha kazi na maradhi) nikienda kule huwa nashangaa roho yangu inakuwa na utulivu ingawa nakua sina hela wala shughuli ya kufanya inanichanganya sana hii situation
Acha kupoteza wenzako we mzeeNakushauri rudi huko... Future yako na welfare yako viko huko.... Rudi kaanze moja ili upate ruhusa ya kuondoka... Utapate ruhusa? Hiyo sio juu yako kwa sasa...