malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 968
- 1,343
Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe
sa nne umechelewa duh.. mkeo kibokoMweeh!!ila kuanzia leo matumiz ctoi,nadunduriza niweke kioo nirud roadini
ni kwl nimechelewa kurud,ila nilimweleza kila k2,sasa huoni hasara na ye2 sote apo mkuu kwanin busara hakutumia
hebu andika vizuri kwanza.
amekosea angevunja meno yako ama jicho ungejua cha kufanya.
muda mwingine mna majibu ya ajabu sana.mke nae ana hasira za kizungu.
Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe