Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

Pia inawezekana hiyo kununa na hivyo vimbwanga anakupima. Mweleze kwa utaratibu akizingua jua kabisa ukileta democrasia kwa wanawake wa kiafrika jiandae kuvuna mabua.
 
Kosa lako moja mkuu,humpelekei moto uyo mtoto..hio ndo shida...
We mpelekee moto tu uone kama atanuna
 
Upepo wa Pesa, tatizo lipo kwako mkuu wala si kwa huyo bi dada!

Tatizo lako umepunguza muda uliokua ukispend nae bila taarifa, pindi ulipopata kile kibarua kinachokufanya uwe bize sana, ulitakiwa kumkalisha na kumpanga, kuwa kwa sasa utakua na unaanza kuwa bize sana na kazi ila asijal, utakua unamtafta pind unapokua free, so asiwe na mashaka kwa kumpunguzia u karibu maana hiyo yote ni result ya job!!

Hawa viumbe wanakuaga na ile kasumba ya kukariri, kama ulikua unampgia sana simu, au unamchatisha sana, siku ukiacha lazma ulalamikiwe na upewe shutuma za hatari, asa kama ulimkaririsha af haujampanga, hapo kosa ni lako!

Cha msing, muite umkalishe, umpange ki ustarabu na utulivu, mueleze chanzo cha ubize wako, mtoe hofu na mashaka yake, muaminishe kuwa una malengo nae atoe hofu na akuamin, kama vip siku moja nenda nae kibaruan kwako ili aone unavyopga mzigo na unavyokua bize, mi naamin atakuelewa tu!
 
hio ni hofu tu ya mwanamke anahisi utamkimbia kisa maisha yameanza kukunyookea. kipindi huna hela alijua kabisa huna ujanja huwezi kumkimbia coz unamuhitaji yeye kama provider.

kujitegemea kunamfanya mtu awe huru sio tena mtumwa wa mtu anaemsaidia kiuchumi. neno mtumwa sio zuri ila mkuu wewe ulikua kimtumwa chake ila kwa sasa upo huru na hana nguvu tena juu yako.

mimi nnachoona hapo ni kwamba mwanamke anahisi thamani yake kwako imeshuka coz hauhitaji tena msaada wake wa kiuchumi, upo independent and you can do whateva you want.

ila sasa kama unampenda kama unavyosema jitahidi uishi nae pamoja na ufanye taratibu za kwenda kujitambulisha kwao ili umpunguze presha maana ana presha kweli anaogopa kuibiwa tunda wakati tunda kalikuza mwenyewe
 
Kasema Hana mahusiano mengine

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Ushauriwe nn sasa zaidi ya kumuonyesha mapenzi mwenzio
 
Huyu mwanamke anaonekana hajiamini..
 
Ni mara chache mwanaume kuishi namwanamke aliye msapoti kipindi cha msoto .Mwanaume akiweza kujikimu mara nyingi huisi atakumbushiwa saport aliyopewa hivyo hupunguza ukaribu mwishoe kuachana kabisa .Jichunguze
 
Yawezekana kweli umeanza dharau baada ya kupata hela kutoka na majibu ya mkato yasiyomridhisha. Kwa Maelezo yako tu, unaonekana huna lugha nzuri ya kumuelewesha mwenzio akuelewe.
Jifunze kuishi na mwanamke.
Umekaa ukamwambia hali halisi ww mwambie kwamba sasa mama mm napambana kwa ajiri yako tena kipindi umeshamto
 
Kukusaidia kipindi una matatizo isiwe fimbo ya kukupoka utu na Uhuru wako. Muombe muda mkae mzungumze.

Jishushe ila hakikisha katika kujishusha huko huuzi utu wako kamwe.
 
Ukiwa job a nakutafuta kama ni mahali panafikika uwe una mwambia aje ili6akuone ulivyo busy ataridhika. Na hata yeye atakuwa ankaufuatilia. As far kweli umenyooka.
 
Hapo mkuu mkalishe umwambie ratiba za mihangaiko yako na kama mna malengo yenu zaidi pinguzeni washauri hao ndio waharibifu
 
Anajua Kila kitu
Kama anajua kila kitu basi huenda kulalamika ni hulka yake

Anyway kama unaweza mvumilie huku ukiendelea kumuelewesha na kumuhakikishia vile unampenda na kuthamini mchango wake kwako

Ila asitumie fadhili zake kwako kama fimbo ya kukuchapia nayo.
 
Kama niwakishua huyu n asset kwako pambana nae mtengeneze maisha, choice is your's either uachane na asset utafute liability pasua kichwa ambayo if u'r not financially stable u'r doomed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…