Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Asubuhi ulimkumbusha?? Maana communication ndio kila kitu. Ungemwambia halafu akaushe ndo useme. Next time ukimfuata mtu ambaye sio mume wako wa ndoa hakikisha una nauli.Best mi sio tegemez hata kidogo ninabiashara yangu inanilipa tu
Nadhan imetokea tu kanipigia sikua nyumban na aliniambia yuko hoi anaumwa kwel sikurud hata nyumban kuchukua hela,,,bht nzur nilikua na hela kwenye manyonyo tena ulikua ya upatu,, ikabidi niende nafika ananiambia nilikumiss nikuone tu,,,,
Asubuh kaamka namwambia unajua sina nauli akaniambia poa
Ulimuambia unamtegemea nauli?? Yaani ulienda kumuona mgonjwa na ulitegemea akupe nauli yeye? Ungemuambia sina nauli.
Huu utegemezi umezidi kipimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi ulimkumbusha?? Maana communication ndio kila kitu. Ungemwambia halafu akaushe ndo useme. Next time ukimfuata mtu ambaye sio mume wako wa ndoa hakikisha una nauli.
Kumbe wizi ni kipaji eehhh.....
Kwelii kabisaaYaani mwanaume nae hajiongezi? Kaona mpenzi kaja bila hata mkoba nae haulizi nauli unayo mpenzi?
ulikuwa ujuiMpe pole mwenzio aise
Kumbe wizi ni kipaji eehhh.....
Wewe ni husband material.Kulipia kupo kwa namna nyingi. Ningehakikisha kwanza anafika home/ofisini kwake kabla sijafikiria mimi kufika job.