Sio awe makini, asirudi tena kwa huyo mwanaumeWe dada mbona umenichekesha lakini pole masikini huyo mwanaume hakupendi mtu ulishamwambia huna nauli uwe makini siku nyingine usisahau pochi
Kiufupi hamfai huyo mwanaume mpaka mia tano kairudia huyo mwanaume au mvulana
Ww unaenda kumuona mgonjwa bila hata 100? Dah! wanaume inatakiwa tuige tabia ya huyu jamaa yaan kapinda kwa kukomesha akarudia had jero huo ndo uanaume maana utaendaj kumuona mpenzio bila pesa ww?Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..
Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda
Sababu mda ulikua umeenda nikaamua kulala kwake
Kilichoniuma tumelala asubuh kaamka kaenda kazini mi naamka hajaniachia hata nauli sijakaa kama dakika 20 hv akarudi alisahau kitu mi sikuambia kitu nikafikiria labda alisahau kama binadam au alikua ninayo,,,kumbe aliacha 500 mezan akairudia akaichukua
Nimeamka sina nauli kibaya nikwamba alivyonishtua anaumwa hata poch niliacha nyumban....
Wapendwa nimeumia sana maana nimehangaika nimemtumia msg my sina nauli...kakaa kimya hajajibu mpaka sasa hv nilichokifanya nikamwambia rafik yangu akanitumia...
Moyo umeniuma sana kwel kwa mtu unaempenda kwel unamfanyia hivyo.. Wht if nisingepata mtu wakumitumia
daah hata wavulana wengine wanajitambua aseeKiufupi hamfai huyo mwanaume mpaka mia tano kairudia huyo mwanaume au mvulana
Mapenzi upofu best, mama pita anampenda jamaa yake, sema tuu huyo jamaa hajitambui unadhani angempa hiyo pesa ya nauli let say hata 2000 tuu mama pita angeridhika asingelalamika jamaniKuna watu wanawapa miili yako wanaume wasiostahili kabisa.
Kweli kabisa.Mapenzi upofu best, mama pita anampenda jamaa yake, sema tuu huyo jamaa hajitambui unadhani angempa hiyo pesa ya nauli let say hata 2000 tuu mama pita angeridhika asingelalamika jamani
Hahahahah yaani umenichekesha hiyo reactions!! kuna mambo yanakera mno,mie ningechukua tv nikauze nipate nauli chaaa so kwa dharau hizii.
Umeonaa shogaa eeeh ikutee usiku kamtumia ipasavyo afu ndo asubuhi linaondoka kama kondoo yaan asingeaminiHahahahah yaani umenichekesha hiyo reactions!! kuna mambo yanakera mno,mie ningechukua tv nikauze nipate nauli chaaa so kwa dharau hizii.
Pole sana, chukua tu ustaarabu wako jamaa hakupendi. Halafu kuna mahali umeruka, mlikula tunda usiku? Nahisi jamaa alikuita anataka tunda sasa akaona akikwambia direct hutokwenda.
Du!! Nimejisikitikia tu..maana hata mswaki sikupiga sababu niusahau nyumbani kwahiyo chai nilienda kunywa nyumban na mswaki nilienda kupigia nyumban....na usiku alinila vi3sasa unasubiri nini wewe mama pita zako hivi, unakaaje na mwanaume wa aina hiyo wakati wanaume waelewa tupo? shida yenu mnatuogopa sie tulio oa lakini jueni kuwa sisi ndo tunajua kulea. sasa kama alishindwa kukuachia nauli je chai na chakula cha mchana aliacha? jamaa alivyo boya usikute kakutomba uskiku kucha kisha kaondoka asubuhi, dawa ya meno imekwisha na wala mswaki wa akiba hakuna, sabuni ya kuogea hakuna wala hajakuachia, maji ya kuoga hakuna unatakiwa ukanunue mtaa wa pili na wewe ndo huna hata sh tano. Alafu ulivyo jinga baada ya siku mbili utasahau kisha anakuita tena anakumbato unaondoka na mishahawa yako mpaka kwako kwa mguu. PAMBAF SANA.
next time akikuita mkomoe umpe TIGO tu ili aache ujinga wake. By the way naomba namba yako maana wewe ni gelfrendi matirio unaweza nifaa mimi.Du!! Nimejisikitikia tu..maana hata mswaki sikupiga sababu niusahau nyumbani kwahiyo chai nilienda kunywa nyumban na mswaki nilienda kupigia nyumban....na usiku alinila vi3
Pole,sasa unalala kwake kwani mmefunga ndoa,au alikuwa anaogopa kulala peke yake ukamuonea huruma!!Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..