Roho imeniuma sana

Roho imeniuma sana

mama pita

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
97
Reaction score
140
Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv..
Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda
Sababu mda ulikua umeenda nikaamua kulala kwake
Kilichoniuma tumelala asubuh kaamka kaenda kazini mi naamka hajaniachia hata nauli sijakaa kama dakika 20 hv akarudi alisahau kitu mi sikuambia kitu nikafikiria labda alisahau kama binadam au alikua ninayo,,,kumbe aliacha 500 mezan akairudia akaichukua
Nimeamka sina nauli kibaya nikwamba alivyonishtua anaumwa hata poch niliacha nyumban....
Wapendwa nimeumia sana maana nimehangaika nimemtumia msg my sina nauli...kakaa kimya hajajibu mpaka sasa hv nilichokifanya nikamwambia rafik yangu akanitumia...
Moyo umeniuma sana kwel kwa mtu unaempenda kwel unamfanyia hivyo.. Wht if nisingepata mtu wakumitumia
 
Back
Top Bottom