donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Mi nawakubali [h=2]Rockstar Games[/h]
Hapo tuko pamoja mkuu
donluchesse said:As for me, kiukweli EA games nawakubali, ila tatizo lao kubwa mara nyingi wakitoa game mpya wanaconsider platforms nyingine kama PS3, Xbox360 etc. Na wala hawatujali PC gamers.!
EA games balaa especially izi games kama battlefield,need for Speed (the run, most wanted 2012, hot pursuit) ambazo zinatumia technology yao mpya ya frostbite
mbona Ea wana Games nyingi sana za Pc mkuu!! Mfano Fifa na need for speed mm nmeona version nyingi za need for speed kwenye pc same to fifa
Ur right mkuu lakini kwa mfano ingia saivi kwenye web ya EA games ucheck game nyingi ambazo ni coming soon au mpya zipo kwenye platforms nyingne
kwa hayo makampuni mawili hapo ea anamuacha mbali sana rockstar,coz ea ana magame ya kila aina kuanzia sports,athletes,action,war na kila aina ya game,sema hapo kuna mwanaume mmoja hapoa umemsahau anaitwa ubisoft ni balaa anamagame ya balaa na very unique angalia kwa mfano assasin creed,splinter cell au farcry!!!
Ea ana games nyingi za aina tofauti tofauti na grfx wako vizuri zaidi
Rockstar wao ni kama wana games za aina moja lakini script za games zao ni kama unapata kila kitu ndani yake
Napenda zaidi Rockstar
Wakuu nani kashawahi kucheza Sniper Elite V2?