Rock City Mall-Mwanza

Wadau hapo utaratibu wa pango kwa hiyo mall umekaaje. Kama unataka kupata eneo
nyamaza tu waachie wale wale
kama ushafungua hata kaduka mliman city may be unataka na branch mwanza. uliza tena tukuambie
 
Wana shule zina majina yao mama salama kikwete sec skuli..yusuph makamba sec..bora hata zenji kuna majina asili Dole skuli..makunduchi skuli..kitopeni skuli.. manake haya majina ya wanasiasa hayana lolote la maana
 
Biashara zitofautishwe na siasa za kipuuzi jamani, na nyie watendaji wa serikali acheni tabia ya kujipendekeza pendekeza, mmechaguliwa jina zuri kabisa la rockcity mnaanza kuleta vioja hapa...
 
Taarifa: Rock city mall iliopo maeneo ya Ghana Kirumba jijini Mwanza itaanza kazi rasmi tarehe 15/08/2015

Mabadiliko, kuanzia sasa nakuendelea itaitwa JM KIKWETE MALL, na sio ROCK CITY MALL kama ilivyokuwa hapo awali.

That's ridiculous, you can't name a supermarket with President's name.
 
Biashara zitofautishwe na siasa za kipuuzi jamani, na nyie watendaji wa serikali acheni tabia ya kujipendekeza pendekeza, mmechaguliwa jina zuri kabisa la rockcity mnaanza kuleta vioja hapa...

mall inaitwa rock city mall na si vingnevyo pia mkumbuke out of dqt name ni east africa supermarket. imejengwa kwa pesa za waisan wa east africa
 
nyamaza tu waachie wale wale
kama ushafungua hata kaduka mliman city may be unataka na branch mwanza. uliza tena tukuambie

Unamanisha wanaotaka kupangishwa ni lazima wawe tayari na maduka Mlimani City au hata sisi wadogo tunarusiwa!!! sijakuelewa vizuri Mkuu nini unamanisha..
 
Wana shule zina majina yao mama salama kikwete sec skuli..yusuph makamba sec..bora hata zenji kuna majina asili Dole skuli..makunduchi skuli..kitopeni skuli.. manake haya majina ya wanasiasa hayana lolote la maana

Pia Tunduma kuna sekondari inayoitwa jina la mkulu. Ni kati ya shule zinazofanya vibaya zaidi matokeo ya form 4. Fuatilia
 
Kwa hiyo hiyo Mall ni kwa ajili ya wawekezaji wakubwa tu...mimi nilidhani inakuwa kama Machinga Complex ya Dar es Salaam. Kumbe nimeingia chaka Mkuu.
s
same as mliman city but hii ni kubwa kuliko mliman city
 
Attachments

  • 1438840852729.jpg
    54.7 KB · Views: 218
  • 1438840884206.jpg
    38.9 KB · Views: 922
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…