HillaryKombe
Senior Member
- Mar 1, 2014
- 122
- 42
mmoja kapigwa kibuti...mwingine hajawahi kushinda oscar na his highly paid (62 mil $ per movie)
acha tu wajidunge
walimwonea 1998...(titanic)
jamaa naskia kuna mis understanding nathani kati ya manager zake na committee ya oscar...
Ila titanic kweli walimfanyia unyama ase
kama ipo ipo....hata baada ya hapo kashiriki kwenye blockbusters kibao..
kwakwel kabisa..huyu jamaa ni wakumtia moyo , na kwa sasa naskia anataka apandihe dau kwa makampuni makubwa yatakayo mu approach kwa any role...hehehe kizuri chauzika daima
na hao wote wamesimama, tena mbaya....!OSCARS NAYO IMEKAA KISIASA SIASA..HAWA WOTE HAWAJAWAHI KUCHUKUA HIYO ACADEMY AWARDS..
Harrison Ford,Brad Pitt,Edward Norton,Johnny Depp,Tom Cruise,John Travolta,Will Smith,Mark Wahlberg, AND THE LIST GOES ON.....
na hao wote wamesimama, tena mbaya....!
OSCARS NAYO IMEKAA KISIASA SIASA..HAWA WOTE HAWAJAWAHI KUCHUKUA HIYO ACADEMY AWARDS..
Harrison Ford,Brad Pitt,Edward Norton,Johnny Depp,Tom Cruise,John Travolta,Will Smith,Mark Wahlberg, AND THE LIST GOES ON.....
kumbe na wenzetu nao fitna waziweza..daah sikujua adi jonny depp..dahh
| Release Date | Movie | Production Budget | Domestic Opening Weekend | Domestic Box Office | Worldwide Box Office | Trailer |
|---|---|---|---|---|---|---|
| Jul 9, 2003 | Pirates of the Caribbean: The Curse of the Black Pearl | |||||
| Jul 7, 2006 | Pirates of the Caribbean: Dead Man's Chest | |||||
| May 24, 2007 | Pirates of the Caribbean: At World's End | |||||
| May 20, 2011 | Pirates of the Caribbean: On Stranger Tides | Play | ||||
| Totals | ||||||
| Averages |