Taarifa zinaonyesha kwamba Golikipa wa zamani wa Timu ya Taifa ya DRC na TP Mazembe Robert Kidiaba amechaguliwa kuwa mbunge nchini humo katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni .

Na ni kocha msaidizi mazembe na ni mbunge na wakiwa na zahera huko kongo wako serious hatari na yule kocha wa vital ndio maana yanga inafanya vizuri maana zahera pia anavuta vitu kutoka huko kongo (uzoefu)