Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,275
Mbona zege ni ghali zaidi ya lami?MAGU anayo kazi. Naona NYANZA ROAD wake wana mwaga KOKOTO/ZEGE barabarani kutuhadaa kuwa ni rami!! Tujiandae na tairi mpya baada ya miezi 6!!
Mbona zege ni ghali zaidi ya lami?
Mbona unakomalia kwenye tairi tu wakati nimesema zege ni ghali zaidi ya lami?na imara zaidi ya lami.Haitumiki sababu sio the best next alternative,kama tairi zingeundwa zinazohimili zege.Kwahiyo ww uliwahi ona wapi barabara ikajengwa kwa zege? Hizo tairi una hela za kununu kila wakati?
Wanajitambua.. kuwa uongozi ni dhamana.
Acha habari zako ww!! Huwezi jenga barabara kwa zenge!!Mbona unakomalia kwenye tairi tu wakati nimesema zege ni ghali zaidi ya lami?na imara zaidi ya lami.Haitumiki sababu sio the best next alternative,kama tairi zingeundwa zinazohimili zege.
Nenda kitonga ukaone kama mlimani imetitia lakini hapo chini lami imetitia.