Road to 2020; A Big Concern To Christians

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,640
33,421
From Fr. Kelvin Ugwu

A Big Concern To Me

Why do we Christians use other people's misfortunes or predicaments as reason(s) to thank God?

Why do we need to thank God for life simply because others have died?

Why do we need to thank God for good health simply because others are in the hospital?

When a Christian is called to stand up in the church and pray, he or she will most likely pray like this:

"Thank you Lord for the gift of this new month. Thank you for my life. Many started this year with us, but they are dead. Many are sick in the hospital. But here am I, healthy and alive. It is not because I am worthy but because of your love for me."

Now let me ask, does it mean that those whom we are comparing ourselves with, (the dead, the sick), God does not love them?

Some will even take it further. . .

"I thank you Lord that I am not among those that don't have job. I thank you Lord that I am not among those that are barren. I thank you that I am not among those that were denied admission to school."

This is really giving me personal concern.

It is a new month and the last month of the year, providentially, it fell on a Sunday. You can be sure that almost all the churches during prayers today will definitely use other people's misfortune as a prayer point for thanksgiving. Sad!

Again, I also noticed that people don't get motivated to thank God unless you use other people's predicaments on them. I love what Chris Nwabueze said in one of his posts,

"You won't see me use tragedy or other people's predicament or ply into other people's situation in other to force you to be grateful for where you are now. Words like "You should thank God that you are alive because some started the year with you and now they are dead." You can thank God for your life without bringing dead people in it.

"I'm not going to show you the man with one eye so you can be moved to thank God for your two eyes.
Thanksgiving is a lifestyle, if you need to hear that a man broke his neck before you appreciate the Lord for keeping your neck in its position, it shows there's something terribly wrong with you."

Today as you pray, thank God for yourself and thank him for where you are today. Leave what you consider as other people's predicaments out of your prayers. If you had an accident and you were the only survivor, thank God and leave those stories of how God saved only you, how he loves you which invariably suggest that he does not love others that died. Be sensitive!

Happy new month!

#FacebookTelevision

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sometime hawa ma father, reverand na wengine nao ni binadamu tu kama sisi, hivyo sio lazima kuchukua kila wanachosema, why nasema hivyo; kwa mtazamo wangu unapomshukuru Mungu mara nyingi kama sio zote lazima ujilinganishe hali yako na wengine, like it or not my friend, ukisema asante Mungu kwa kazi it's because ulimuona jobless, au asante Mungu kwa uzima coz ulimuona mgonjwa, au asante Mungu kwa shibe, coz unajua yupo mwenye njaa!, ni sala gani utakayofanya umshukuru Mungu bila kufanya comparison?!

Huyo father anasema ukisali wewe shukuru tu, halafu nenda zako usifanye comparison, sasa utashukuru kwa lipi bila kuona hali uliyonayo ina afadhali kuliko wengine, na kushukuru haina maana unafurahia matatizo ya wengine, hapana, coz nao tunawaombea pia, but huwezi kujitoa akili uka ignore kile Mungu alichokufanyia it's impossible, kwani ulimpa nini Mungu mpaka akakukinga na majanga?, ni kushukuru tu kwa kila jambo, no limitation on this.

NB. mleta mada niambie wewe unaweza kumshukuru Mungu kwa jambo gani bila kufanya comparison, coz siku zote akili zinatukaa sawa unapoona jambo baya limemtokea mwenzio, unapojiuliza kumbe na mimi lingeweza kunipata ndio tunaposhika adabu, huwezi ignore hiyo.

Kuna swali hapo, kwamba je hao waliokufa au wanao-umwa Mungu hawapendi?
 
Kwa mfano unaposema asante kwa kunipa afya maana wengine wapo hospital maana yake kakupendelea na walio hospital kawaacha?

Kwanini usiseme asante Mungu kwa afya njema! Kwanini mpaka uweke wengine? Nafikiri kuweka comparisons katika kushukuru ndio leo shuhuda za watu kuwa matajiri zinafanya maskini ajione hajaguswa na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameandika vizuri.
Tunapoomba na kumshukuru Mungu kwasababu sisi ni wazima na wengine ni wagonjwa haina maana kua tumejiona sisi ni bora zaidi...ila unapoona mtu anaumwa inakukumbusha kuwa karibu zaidi na Mungu na kujifunza kwamba kesho na wewe unaweza kua na hali ile hivyo unamshukuru Mungu kwa kuendelea kukupa afya kwani unaweza kuumwa ushindwe hata kuomba.
Pia tunapoomba hatuishii tu kumshukuru Mungu kwa ajili yetu sisi bali kwa kuwaona wanaoumwa tunakumbuka kuwaombea ili kwa kupona kwao iwe ushuhuda kwao na kwa wasiamini kua tukimuomba Mungu anaponya.
Tunapomshukuru Mungu kwa kutupa uzima,tunashukuru kua sisi tuna afya na nguvu ya kuwaombea wenzetu ambao hawawezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom