Mnitaftie mteja na mm nauza kieneo kangu huko. Mtaa wa tulivuTuna mradi wa viwanja maeneo ya mwasonga Kigamboni, anahitajika mkandarasi wa barabara ambae atajenga barabara za ndani ya mradi na sisi tutampa sehemu ya ardhi/viwanja vilivyopimwa.
Mradi Upo sehemu Nzuri ssna.
DM km Upo serious.