RNF( Resources Networking Foundation) wakabidhi msaada kwa RPC Dodoma

RNF( Resources Networking Foundation) wakabidhi msaada kwa RPC Dodoma

KESSY FRANCIS

Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
42
Reaction score
11
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya RNF, OMBENI MSUYA yenye makao makuu mkoani Dodoma Leo wamekabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika maadhimisho ya siku ya polisi mkoa wa Dodoma. Mkurugenzi Mkuu amewaomba wadau wengine wa maendeleo kuendelea kulichangia Jeshi la polisi Tanzania ili liweze kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kulinda raia na Mali zao.
ImageUploadedByJamiiForums1364309676.907088.jpg
 
Back
Top Bottom