RM Vs RA-Mjadala umefungwa DOWANS,EPA etc,etc?

Timor

Member
Feb 4, 2009
48
32
Nimeisikitikia serikali kwa kuingilia na kuufunga mjadala wa mafahali wa ufisadi yaanai Regnald Abraham Mengi na Rostam Aziz.Interest ya serikali ni kuogopa kuumbuliwa kwa ajili ya ufisadi wa RA.Kwani inajua fika kwamba vita vya mshirika wake ni vita vya serikali ya CCM.Hata hivyo ni janja ya kunusuru kutajwa kwa mafisadi wengine wenye hisa ndani ya CCM.Swali langu basi wafunge mjadala wa DOWANS,EPA na wengine.Si imetaka watanzania tusijue juu ya mafisadi,basi na ufisadi HATUTAKI KUUSIKIA PIA WAELEWE HIVYO..

Mode usihamishe hii ni mada mpya!!
 
Ukweli ni kwamba RM ameigusa serikali pabaya,hivyo waungwana walioko serikalini wameona vema wajihami kwa juina la 'maslahi ya Taifa'.Kwa wengi wa wa wajinga waliojazana serikalini swala lolote linalogusa himaya ya baadhi ya 'God fathers'ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
 
Nimeisikitikia serikali kwa kuingilia na kuufunga mjadala wa mafahali wa ufisadi yaanai Regnald Abraham Mengi na Rostam Aziz.Interest ya serikali ni kuogopa kuumbuliwa kwa ajili ya ufisadi wa RA.Kwani inajua fika kwamba vita vya mshirika wake ni vita vya serikali ya CCM.Hata hivyo ni janja ya kunusuru kutajwa kwa mafisadi wengine wenye hisa ndani ya CCM.Swali langu basi wafunge mjadala wa DOWANS,EPA na wengine.Si imetaka watanzania tusijue juu ya mafisadi,basi na ufisadi HATUTAKI KUUSIKIA PIA WAELEWE HIVYO..

Mode usihamishe hii ni mada mpya!![/QUOTE]

hiii sio tu kuhamishwa IFUTWE angalia hapa, kabla hujasema kuwa ni mpya fanya utafiti kwanza ASANTE

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28751-tamko-la-serikali-dhidi-ya-mengi-na-rostam.html
 
Kandambili wewe una agenda ya mshiko na mafisadi acha wadau wachangie kusema ifutwe ni sawa sawa na serikali iliposema "sasa basi funikeni muozo huu harufu mbaya imenifikia"
 
Tutachangia THREAD ngapi zinazofanana sio kila mtu anakurupuka na kupost post. WEWE MWENYEWE NI FISADI wa kutupwa hapo ulipo, mapato yako kwa asilimia kubwa ni njia za panya, unafuata upepo kwa kila anayetoafutiana na mtu jibu kapewa mshiko na mafisadi END OF THINKING CAPACITY. jioni njema
 
Kanda mbili unashangaza sana elewa kuwa mie siyo fisadi wala jamaa yake na fisadi ,Mimi ni mzalendo ninayeipenda nchi yangu kwa moyo wa dhati.Tena sina makuu.Ila wewe una mawazo ya kifisadi fisadi kukandamiza hoja kwa sababu inawagusa washirika wako.Acha hizo toa mchango endelevu kwa JF.Hoja ya msingi hapa ni kwanini serikali itoe tamko juu ya malumbano ya mafisadi na wala si juu ya ufisadi unaoliangamiza taifa?
 
Back
Top Bottom