Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

Dah tutasikia mengi,baada ya nzega ccm kula vitumbua vya kiwangala sasa zam ya rizmoko si nae angewapa tu vitumbua na chumvi plus pombe wanavipenda hawa!
 
The dollar princè is making it rain in desert idodomya...he is young ,rich, handsome and future head of state, yeees
 
kama wenyewe wameruhusu mtoto wa sultani kuwavuruga, mnalalama nini sasa??

Kubanjuana mbanjuane wenyewe, ikiuma mnakuja mbio kupiga kelele

bure kabisa
 

hujui mambo yanavokwenda ndio mana una argue hivo,sikulaumu.nakuomba ujipe mda kufatilua kidogo jinsi siasa zinakwenda ndo utaelewa.
 
ridhiwan asipomuweka rais wake 2015 hakuna atakayelinda mabilioni yake ya wizi..lazima apange safu ya kuchakachua kura akisaidiwa na dingi....
 

Sasa nyie vijana wenye akili timamu na uwezo wa kupambanua mbambo mnafanya nini huko CCM sijui UVCCM? Simtoke kwenye hilo tanuru? Vinginevyo mkae kimya mkubali yaishe.
 
Simpendi Ridhiwani Kikwete, ila hii habari inanitia shaka juu ya ukweli wake.
 
ccm inayumbishwa hata na makenge , mi sielewi kabisa, hawa jamaa ni chama kinachokufa, kinaangamia, mtoto huyo hana hata uelewa wa maswala nyeti zaidi ya mambo haramu anawayumbisha, ama kweli ccm ni chama cha mabwege
 
Taifa la dhuluma kama hili kamwe hatutapata maendeleo. Chadema tusonge mbele 2015 tuchukue nchi tuanze kuijenga kwa upya ccm hamna jipya
 
Huyu kijana si juzi tuu naskia kakamatwa china amebeba yale mavitu ambayo lazima unyongwe ukikutwa nayo,ikabidi mkuu apige waya wakutosha kuomba radhi wamnusuru asije akapigwa bismilah!!!mmmh ama kweli
 
Kwani polisi,takukuru,mahakama na usalama wa taifa ni mali ya nani? Obiusly ni mali ya ccm,hivyo vitalinda interest za riziwani.hawawezi kumkamata na kumpeleka mahakamani.kufanyika hayo tusubiri 2015 tu.
 
Hatumkei huyu mtoto,tunakemea CCM kwa ujumla wake the uchafu huu wote utatoweka, M4C is the only TOOL, Kama unachukia uozo huu ungana nasi katika M4C - haya maneno yamebeba ujumbe mzito sana, let us struggle;
 

PUMA at work!!! and so many of....
 
Hahahaha!! si huyo ndiye baba yake anashangaa hata utajiri wake hajui kaupata wapi!! wajinga ndio waliwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…