EE ndio, tanzanite One walitakiwa waondoke 2012.
Sasa wamekula dili na viongozi wetu walaghai, wabinafsi.
Tanzanite One wameuza hisa 20% kwa wajanja wachache watanzania, hao ni vigogo.
Sasa hawaondoki tena.
Wachimbaji wadogo sijui wanasemaje, Wana apolo ni wajasiri sana, sijui kwa nini wako kimya??
Rasilimali zote nzuri zenye pesa ni mali ya Vigogo na familia zao. Wale walalahoi unaewapigia CCm debe sijui kama wana akili timamu, siju kama wana uwezo wa kufikiri??
Wale wananchi masikini wanaopigia CCM kura sijui ni uoga ama hawajui !!