Riwaya: Penzi la shemeji

Riwaya: Penzi la shemeji

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,632
PENZI LA SHEMEJI
sehem ya 1

" Naomba umsindikize shemeji yako tafadahali mathematician"
alinambia kaka
" Haina tatizo kaka" nikamjibu kaka
Niliingia chumbani na kuwaza sana namna nitakavyofanya
ili nisijikute kwenye vishawishi ambavyo nimekuwa
nikivipata kutoka kwa shemeji yangu yule.
Baada ya kujiandaa nikaondoka na kwenda kuchukua
funguo kwa kaka kisha nikaingia kwenye gari
nikimsubiria.
Dakika chache akatoka na kisha akarudi tena ndani,kama
kawaida ya wanawake kujiandaa huwa inachukua muda
mrefu saana ndivyo ilivyokuwa kwa shemeji.
Alipomaliza aliingia kwenye gari na kisha nikawasha na
kuondoa gari taratibu sana
Kaka alinipendea kitu kimoja,kwenye uendeshaji wa gari
nilikuwa makini sana.
Shemeji alipoingia kwenye gari na kukaa kanguo
alikokuwa amevaa kalikuwa kafupi sana na kakapanda na
kuyaacha mapaja yote wazi
Nilijikuta kwenye wakati mgumu sana kuyaakwepesha
macho yangu ili nisiyaangalie yale mapaja meupe yasiyo
na doa.
" Ila kaka ananitafuta ubaya tu,kweli unamwacha mkeo
atoke kwenda matembezi na kanguo kadogo hivi? Dah!
Basi tu" niliwaza mwenyewe
" Vipi shem? Mbona una aibu hivyo? Kua basi na wewe"
akasema Shem
" Hapana shem mbona kawaida" nikamjibu
Niliendesha gari taratibu tukielekea katikati ya mji ili
shemeji akafanye shopping zake.
" Shem nikwambie kitu kizur?" akauliza Shem
" Niambie shemeji yangu" nikasema
" Unajua kuwa kaka yako wiki ijayo anasafiri?" akasema
" Sijui! Ila hilo kwani ni jambo zuri?" nikamuuliza
" Af wewe shemeji sijui akili yako ikoje? Hivi nifanye nini
ujue nakupenda?" akasema
" Kati ya kaka na mimi unampenda nani?" nikamuuliza
" Nakupenda wewe"akasema
" wa kupimwa wewe sio mzima,yaani unapenda mtu
mwingine tofaut na mmeo wa ndoa? Unakichaa si bure"
nikasema
" Shem acha utoto,kwani mimi dada yako? Au unafikiri
haitaingia? Em jalibu uone kama itagoma kuingia"
akasema
" Lakini si unajua kuwa wewe ni mke wa kaka yangu?"
nikamwambia
" Kwani kaka yako akiingiza huwa anaachamo alama? Acha
ushamba wewe? Haya mambo yapo,kula vitu wewe,hivi
unafikiri nikiamua kukuchukia utaishi hapa? Sasa utake
utanigonga usitake utanigonga,subir kakao aondoke"
akasema
" Simamisha gari" akafoka
Nikasimamisha gari pembeni ya bara bara,nikashangaa
akinivutoa kwake kisha akaleta mdomo kwangu na
kulazimisha denda.
" Utaacha lini ujinga huu shem?" nikasema
" Sasa sikia,nataka unipe denda kwa kupenda kwako kwa
dakika tatu mfululizo,kama hutaki tukirudi nyumbani
nitamwambia kakako kuwa ulikuwa unanishika mapaja
tukiwa kwenye gari na unaniambia akiondoka utanibaka"
akasema
Nikashikwa na mshangao!!!!!

Itaendelea....(hebu mpe neno mathematician)
 
PENZI LA SHEMEJI
sehem 2

Nilijikuta kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu
ya lile swala,
" Unajua nilishachoka kukubembelez mathematician,unaishi kwangu
kila kitu unachofanya ni kwa pesa yangu,mimi nakuomba
unipe mara moja unajifanya mjanja sio?" aliongea kwa
jazba shemeji mpaka nikaogopa
" Shem nikupe nini jaman?" nikauliza
" Nataka kulionja penzi lako,nakuahid mara moja tu na
sitarudia tena" akasema
Niseme ukweli tangu nimezaliwa nilikuwa nimeshatembea
na msichana mmoja peke yake kule kijijini kwetu hivyo
alilotaka shemeji hata raha yake sikuijua sana ndo
maana nikawa nashangaa alivyokomaa shemeji
" Lakin shemeji,kaka mbona ni handsome na mnafanya ina
maana huridhiki?" nikamuuliza
" Sitaki umuongelee kakako hapa,umesikia?" akafoka
" Samahani basi shem" nikamtaka radhi
" Mathematician natoa simu hii hapa,nahesabu mpaka tatu uwe
umenikumbatia na kunipa denda moja..." alitoa simu yake
na kisha akaanza kuhesabu
" Mbili......"
" Ta......" hakumaliza kusema nikamkumbatia
Alinipokea mzima mzima na kusogeza mdomo wake kalibu
na wangu kisha akalazimisha kuzamisha ulimi wake
kwenye mdomo wake,sikuwahi kufanya kitu kama hicho
hivyo nilipambana mpaka akashindwa kutimiza azma yake
" Wee vip?" akafoka kwa hasira
" Me naona kinyaa bana,nitafanya unachotaka ila hili
nisamehe" nikasema
Ukweli tangu nimezaliwa sikuwahi kupewa denda na mtu
yeyote yule hivyo niliona kama kinyaa kufanya hivyo
" Shem na muda wote uliokaa hapa mjini bado ni mshamba
hivyo?" akasema
" Hata kama bana me sijazoea" nikasema
" Kwa hiyo unamaanisha wewe bado ni kuku wa kienyeji?"
akauliza
" Kuku wa kienyeji kivip? Sijakwelewa?" nikasema
" Ina maana haujawahi kufanya mapenzi?" akauliza
" Mapenzi nilishafanya mara moja ila hayo mambo mabaya
unayotaka me siwezi kufanya sijazoea" nikamjibu
" Waaoooooh! Nasikiaga kuku wa kienyeji watam
sana,,dah! Nashukuru kukupata,niahid kakako akiondoka
utanikuna basi?" akasema
" Af me sipendi uniite kuku wa kienyeji bana, wee
umeomba mara moja bana me nitakupa mara moja tu af
tunaacha" nikasema
" Jidanganye hahahahahaha! Ukionja utaacha? Nikupe ile
style ya mdodoso af nikugeuze chuma ulete nije
kukumalizia na kalichumbage af useme utaonja mara
moja? Tena kuku mwenyewe wa kienyeji? Subir tuone"
aliwaza shemeji peke yake
" Usijal ni mara moja tu na hatutarudia,endesha gari
twende" akasema
Kwa akili yangu ya kijinga na kishamba na mimi niliamin
kweli kuwa tutafanya mara moja kisha tuache.
Nilimwendesha mpaka katikati ya mji kisha nikasindikiza
kwenye maduka yote aliyokuwa anafanya shipping
Nilishangaa kuona ananunua nguo za ndani za kiume
" Shem huon aibu kununua nguo za kiume?"
nilimnong'oneza
" Wee kweli kuku wa kienyeji,cha ajabu nini?" akasema
kwa sauti mpaka nikaona aibu
Tulipomaliza ile shopping turilud kwenye gari kabla ya
kuondoka
" Nimekununulia zawadi mpenzi" akasema
" Shem bana me tena mpenzi,,acha bana sio vizur"
nikasema
Akatoa zile boxer na kunikabidhi
" Acha ushamba kuku wa kienyeji nataka uwe kuku wa
mayai,hizi ni za kwako utazivaa siku ya gemu yetu na
kumbuka tukiwa wenyewe niite baby" akasema
Nikashikwa na mshangao!!!!!

Itaendelea...(hebu mpe neno mathematician?
 
PENZI LA SHEMEJI
Sehem ya...3

Tulipofika nyumbani nilipitiliza chumbani kwangu na
kuwaacha shemeji na kaka wakiwa wamekaa sebuleni
wakiongea
Nilibaki na mawazo sana juu ya lile ombi la shemeji kuwa
nishare na kaka kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya
" Lakin shemeji ni mzur!! Ila siku kaka akijua itakuwaje?
Si ndo ataniua na ukiangalia kaka anavyonipenda!! Dah!
Mungu nisaidie" nikaendelea kuwaza
Nilipitiwa na usingizi bila kujielewa mpaka nilipokuja
kushtuliwa na msaidizi wa kazi usiku
" Kaka chakula tayali" alisema
Uzuri wa kaka na alichowahi kunieleza na nilishapanga
kukifanyia kazi ni kwenye swala la msaidizi wa kazi
Kaka ana style moja nzur sana ya kuajili wafanyakazi wa
ndani wamama watu wazima au mabinti wabaya sana kwa
sura
Anaamin hilo linampunguzia vishawishi na pili sisi vijana
tunaopita pale kwake hatutaweza kufanya ujinga wowote
nao.
Na kweli ukimuangalia yule binti aliyekuwa pal naamin
hautamwangalia tena
Alikuwa na sura nzito sana,na ukikosea ukakutana naye
asubuh hajanawa uso nahisi hata chakula utashindwa
kula.
Nilienda kula na wao mezani,nashukuru kiti anachokaa
shemeji kilikuwa mbali na mimi hivyo asingeweza kufanya
chochte
Baaada ya kukaa nilimpiga jicho nikashangaa akinikonyeza
Nikageuka mapema na kukaa nisije nikashtukiwa na kaka
Tulianza kula taratibu huku nikiwa kimya nikiwasikiliza
wao wakiongea
Dogo vip?mbona leo umepooza wakati wewe ndo muongeaji
sana?" aliuliza kaka
" Sijisikii vizur kaka" nikasema
" Angalia kama hali sio nzuri uende kuchek afya dogo"
akasema
" Usijal kaka nitakuwa poa tu" nikasema
Tuliendelea kula huku waongeaji wakubwa wakiwa kaka na
mkewe
" Jamani wiki ijayo nitasafiri kwenda Dubai kufata mzigo"
akasema kaka
" Mbona ghafla?" nikajitia kuuliza utafikiri sijui
" Mzigo umeisha dukani mdogo wangu hivyo napaswa
kuufata" akasema
" Ok,unaondoka lini?" nikauliza
" Jumapili nitaondoka" akasema
" Baby nitakumis sana,af nikwambie?" akasema shemeji
" Usijal baby hata mimi nitakumic,nambie?" akasema kaka
" Nimemic sana kuku wa kienyeji" akasema
" Basi kesho nitakununulia uwakaange baby" akasema
kaka
" Hapana,usinunue,kwa saababu wewe unaenda huko,kuna
vitu utakula huko ambavyo me sitavipata na mimi
ukiondoka nitakula kuku wa kienyejo" akasema
" Hahahahaha! Aya bana we mshindi" akasema kaka
" Ila nataka uniruhusu ukiondoka nile kuku wa kienyeji"
akasema Shemeji
Nilishtukia yale maongezi kuwa yananihusu mimi ila kaka
ndo hajaelewa kabisa
" Me nashaur kaka usimruhusu mpaka urudi mule wote"
nikachangia
" Kwa nini mdogo wangu? Unajua kabisa ninavyompenda
mke wangu,asina namna ya kumzuia dogo acha afaid na
isitoshe na wewe upo utafaid au wewe hupend?" akaongea
kaka bila kujielewa
" Dah! Napenda kaka ila sidhani kama tutakutendea haki
kula peke yetu" nikasema
" Wee shem naye! Mmmh! Acha ushamba bana" akasema
shemeji

Itaendelea...
 
Uilete story yote asee, make kuna mtu alikua anaitupia whatsapp akaishia sehemu ya 6 akasepa
 
Back
Top Bottom