Hi kitu niliisomaga mwaka 1986 na kuirudia tena mwaka 1987 nikiwa msingi. Kuna rafiki yangu mmoja anaitwa Michael Chabili, sijui hata yupo wapi? Ndiye nilikua nasoma nae vitabu hivi vya Willy Gamba
Popote ulipo Michael please, ni PM tu ili tukumbushane mambo yetu ya zamani zile tukiwa msingi