RITA Temeke boresheni utaratibu wenu

RITA Temeke boresheni utaratibu wenu

Fidakasa

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
83
Reaction score
50
Shida kubwa Ofisi za RITA Temeke. Tunaomba wahusika wasikilize adha wanazozipata wananchi kupata huduma ofisi hizi. Hakuna utaratibu wa huduma kwa watu. Watu ni wengi sana kulinganisha na watoa huduma.

Mbaya zaidi kuna kina mama wanakuja na watoto na kukaa muda mrefu bila huduma au kuahirishiwa mara karatasi zimeisha. Ukifanikiwa kulipia pia kuchukua ni shida pia. Tunaomba wahusika kuliangalia hili watu wanateseka sana.

Huduma hizi zinatolewa kwa KODI za wananchi kwa nini tena kuwe na taabu kuzipata. Ofisi hizi inaonyesha zimeachwa na hakuna anayezifatilia so wanajifanyia huduma watakavyo. Majibu mabaya na jeuri. Tunaomba Gazeti hili lifike huku angalau wamulikwe ili wajirekebishe.

Huduma hizi zinatolewa kwa KODI za wananchi kwa nn tena kuwe na taabu kuzipata katika kipindi ambacho serikali inania ya dhati kuondoa urasimu?

Ofisi hizi inaonyesha zimeachwa na hakuna anayezifatilia so wanajifanyia huduma watakavyo.
Lugha zisizoridhisha imekua kawaida kwao. Ngazi za juu fikeni huko muwamulike hawa kama wanatosha.

IMG_20191104_111644.jpeg
IMG_20191104_110821.jpeg
 
Back
Top Bottom