Rita Kabaki, Acha kuhalalisha hayo mamilioni mnayolipana kwa jina la kusaidia jamii

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Hawa wabunge wanakera sana, wanadhani watanzania ni mazezeta

huyu mbunge wa viti maalum, RITA KABATI, anasema tusifikiri posho wanazopewa wanatumia wenyewe, ila tunatumia wote kwani huwa wanazirejesha kwenye mambo ya kijamii, yeye binafsi ametumia milioni 34 kujenga kituo cha polisi.

My Take.
Msitumie hivo vimisaada vyenu kuhalalisha mamilioni mnayolipana, tena kutoka kwenye kodi zetu. Vituo vinatakiwa vijengwe kwa pesa ya kodi zetu, full stop.

Msiweke mazingira kana kwamba mnalazimika kutoa saaaaana kwa jamii hivyo mnastahili kulipana mamilioni, HAPANA! Inakera mnapodhani sisi hatuwezi kufikiri
 
Kwa nini zipitie kwenye mikono yao? Kwa nini zisiende moja kwa moja kwa wananchi? Hukumu ya Mungu na iwashukie mawaziri na wabunge wote kwa kujihalalishia ufisadi ili hali wananchi tukiteseka.
 
Back
Top Bottom