Rished Bade: Taarifa ya makusanyo ya kodi


I am grateful for your post! Tuna safari ndefu sana ila hawa 'viongozi' wetu ambao wangepaswa kutuonyesha njia hawajui njia!
 
Hivi lengo la makusanyo lkinapangwa vipi? Maana tusiwe tunasifiana kwa kuvuka malengo kumbe tumeweka malengo ya kuruka sufuria wakati tulikuwa na uwezo wa kuruka pipa au hata simtank lita 10,000!

Ni kweli, watu wanajiwekea malengo kiduchu, ili hata wakipiga, pasiwe na wa kuwauliza na ama waseme tumevuka lengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…