Mchezo wa kuigiza,moja katika mbinu zao za kuwababaisha Watanzania
CCM wanataka stori ya huyu jamaa itawale,ili watu wasahau maumivu ya maisha katika awamu hii,.. katika wakati huu wa kampeni za uchaguzi..
Bahati mbaya, stori ya Makonda watu hawaizungumzi kabisaaa,!! Watanzania wanapambana na maisha yao