Risala ya mkulima kwa JK

Risala ya mkulima kwa JK

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,147
Reaction score
43,084
MH JAKAYA.::
pole kwa kazi mkuu wa taifa hli lenye miaka hamsini bdo linaitwa changa, kilio hiki naomba kisilete matanga. jembe la mkono limeshanipa sugu kiganja kimekuwa kama soli ya ya kiatu wakati nikubiri shiling thelathini kwa chungwa liuzwalo shilingi mia tatu mjini, inasikitisha trekta zinalima mchicha huku tukisubiri kuazimana majembe kupalilia katani.
Mate yalitukauka kwa wingi wa vigelegele wakati ukiapishwa mwaka 2005, lakini mwaka 2010 ulipita kwa mlango wa nyuma., na niisikitika zaidi ninapoona mawaziri na wabunge wako wanang'ang;ania posho............ jamaa aliporomosha kilio kilichoambatana na kamasi. kuona hivyo JK akala kona....
 
men this ain't a joke,hii inatakiwa ikae pale kwenye complaints,hii si joke ni ukweli kabisa!
 
''pole kwa kazi mkuu wa taifa hli lenye miaka hamsini bdo linaitwa changa, kilio hiki naomba kisilete matanga. jembe la mkono limeshanipa sugu kiganja''

nimependa vina na ujumbe mzima wa sms
 
Hiyo ilikuwa risala kwa mkuu wa MAGAMBA!!!!!
ikamalizia kwa kusema hivi pawatila (vijitrekta)
zimegeuka kuwa usafiri wa kutembelea hapa kijijini coz hazina ishu yoyote
wako mtiifu,
niliyekupigia kura ukanichinjia baharini.
 
kwa pembeni pale kulikua na jamaa anavua kiatu alitaka kumpiga ****** ila coz alikula kona basi jamaa akapotezea tu..!
 
hajui sera ya kilimo kwanza?

Back
Top Bottom