kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,061
- 6,766
Mwache afukuzwe lakini amesimamia ukweli...at least tutamkumbuka Kwa hiliHuyu Nape anataka kufukuzwa uwaziri.
Hivi hajui kama Makonda ana nguvu kubwa kuliko akina Samia.
Anachokitafuta atakipata muda si mrefu.
Hapendi uende. Nchi haina tena wazalendo hii. Kuna mdada anataka mwende ote. Naomba umkubalie.Kuna jitu limeniambia naweza nikamaliza miezi mitatu njiani! Lengo alke lilikuwa ni nini huyu? Kunikatisha tamaa? Kuna mijitu ina roho mbaya jamani!
Kwa hiyo maana yake ana tabia ya kuwabambikizia watu kesi tofauti tofauti ili kutimiza matakwa yake either ya kimwili au ....sijui ya nini?Jamaa aliwatishia vijana wa shilawadu kuwa atawabambikizia kesi ya Madawa ya kulevya
Kma ushapekua google, basi safi, huwa haidanganyi. Nipe namba yako ya whatsapp ntakutafuta within a few days my!mpaka libya sijui ila jana nilipita google map nikaona kutoka dar hadi london ni mwendo wa siku sita.......ukiwa tayari nistue twende wote
Bashite kaamua kuweka wazi kumbe issue ya madawa ya kulevya anaitumia kama runguNape anachezea Sharubu za Baba Ubaya Mchana kweupeee!
Ni nchi ya maajabu na vituko, inawezekana kabisa. Kama Kitwanga alifukuzwa uwaziri kwa kuhisiwa amekunywa pombe eti tu hakujibu swali vizuri na alikuwa akiongea ulimi ukiwa mzito bila hata ya kumpima.Hii Nchi ilipofikia kuna hatari hata hii TUME ya NAPE nayo ikaundiwa TUME.
Hili hata Mimi sijui ndugu yanguKwani hakuna miongozo ya kisheria inayomuongoza mpaka akafanya alichofanya kama waziri wa habari,