Wabongo kwa sarakasi za kisiasa sio mchezo! Hata ishu iliyokuwa imesambaa kama hii hadi kulitia taifa aibu mbele ya jumuiya ya kimataifa (kumbuka kibwagizo chetu cha "kisiwa cha amani"), nakumbuka pm alilia hadharani kuashilia machungu aliyoyapata. Lakini wapi bana, ndo ujue wabongo nooomma! Ishu inakwimba hivi hivi. Inauma sana. Hivi "wakubwa mno?"