Sijakwambia kuwa kuna swali limekosewa, nakwambia kuwa yale maswali ukiyaangalia yanakwenda kwenye level ya juu ya mwanafunzi wa sekondari. Sasa kama syllabus imeelekeza hivyo basi hiyo silabasi ina kasoro. Huwezi kumpa mtoto wa darasa la kwanza silabasi ya sekondari ukasema utamtahini hivyo.
Kwa hiyo kufuata silabasi tu kama kasuku ni ujuha pia. Mtu anayetunga mitihani lazima aangalie anawatungia watu wa level ipi. Na pia awe na uwezo wa kujiuliza hayo maswali anayotunga je kuna mwanafunzi yeyote mwenye uwezi wa kuyajibu?
Unaweza soma hii link uone pia ninachokisema (kwamba utungaji na usahihishaji wa mitihani pia ni issue ya kuangalia kwenye examination performance).
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/14850-grading-system-affects-results