Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,758
- 29,318
Kwa uliotangaziwa wewe na magaidi wengine.Asante kwa maoni yako ya kijinga, ila mpaka tunapoongea score board inasoma 4 - 31
Unajua hizi bunduki wameanza kupora maeneo ya mbali? Na watu hao wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo, na wote nia yao ni kupata eneo la kuunda kundi lenye msimamo mkali! Au unajitia wazimu!Bunduki kupatikana siku izi ni rahis sana. Hata ww ulitaka tu utapata. Kilichopo hapa si wapi wamepata silaha.. but kinacho waendesha kufanya hayo mauaji. Siliaha ni vitendea kazi tu .. lakini msukumo ni kutokana na KISASI
Asante mamaKwa uliotangaziwa wewe na magaidi wengine.
Duh! Hii Kali! Yaani wazee wa ccm waliwagegedea wote hao!!? We kweli Bujibuji.Mauaji ya Rufiji ni visasi Vya mapenzi
No negotiations with terrorists.31 - 4, wa kwanza yupo nyumbani na anashambulia kwa kuvizia. Tumuombe Mungu atupatie suluhu, mabao mengi sana haya asee
Uchechez huuuHayo ni magaidi ya kiislam tu, yanatafuta kuungwa mkono kwa ishu ya mkaa na mbao? Mbona walichoma kanisa? Nalo lina kizuizi cha mkaa?
Watakwisha wote na nyie mnaowasapoti kudadadeki!
waarabu wamezua janga mwaka huu, ma nigga mna mambo nyie. Hem piganieni maisha yenu hukoNi mamtu ya dini yenye asili ya Arabuni hayo yanaendeleza imani ya kuua na kwenda kupewa mabikra 70 akhera....
Je na hilo tukio la kuchoma mavazi kanisani? Baada ya kuvunja mlango? Hilo suala ni mchanganyiko wa mambo mengi hata udini pia upo!! Sisi tunaoishi mkoa wa pwani tunayaona na kama ni dhuruma tu kwani ktk tz nzima ni huku tu ndio serikali inawaonea?? Nenda shinyanga, bk huko wafugaji wanavyo nyanyasika na mifugo yao kutaifishwa mbona mauji ya aina hii hayapo?? Kwanini iwe pwani tu?? Tafakariwe acha ubishi !!unataka uingize udini??
Hayo ni magaidi ya kiislam tu, yanatafuta kuungwa mkono kwa ishu ya mkaa na mbao? Mbona walichoma kanisa? Nalo lina kizuizi cha mkaa?
Watakwisha wote na nyie mnaowasapoti kudadadeki!
Je na hilo tukio la kuchoma mavazi kanisani? Baada ya kuvunja mlango? Hilo suala ni mchanganyiko wa mambo mengi hata udini pia upo!! Sisi tunaoishi mkoa wa pwani tunayaona na kama ni dhuruma tu kwani ktk tz nzima ni huku tu ndio serikali inawaonea?? Nenda shinyanga, bk huko wafugaji wanavyo nyanyasika na mifugo yao kutaifishwa mbona mauji ya aina hii hayapo?? Kwanini iwe pwani tu?? Tafakari
Unajua hizi bunduki wameanza kupora maeneo ya mbali? Na watu hao wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo, na wote nia yao ni kupata eneo la kuunda kundi lenye msimamo mkali! Au unajitia wazimu!
Unajua hizi bunduki wameanza kupora maeneo ya mbali? Na watu hao wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo, na wote nia yao ni kupata eneo la kuunda kundi lenye msimamo mkali! Au unajitia wazimu!