RIPOTI MAALUMU: Hiki ndicho kiini cha mauaji Pwani

Bunduki kupatikana siku izi ni rahis sana. Hata ww ulitaka tu utapata. Kilichopo hapa si wapi wamepata silaha.. but kinacho waendesha kufanya hayo mauaji. Siliaha ni vitendea kazi tu .. lakini msukumo ni kutokana na KISASI
Unajua hizi bunduki wameanza kupora maeneo ya mbali? Na watu hao wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo, na wote nia yao ni kupata eneo la kuunda kundi lenye msimamo mkali! Au unajitia wazimu!
 
Unyanyasaji na dhuluma wa aina hii upo pia Kilosa.
Wafugaji wanawaonea sana wakulima, lkn kwa kua masai ni waoga wa police hua wanatoa sana rushwa tena pesa nyingi tu. Sasa sijui watu wa usalama hawalioni hili?
 
It sheds light at the end of the tunnel. But still, kwanini kuua polisi na CCM leaders tu?
 
we acha ubishi !!unataka uingize udini??
Je na hilo tukio la kuchoma mavazi kanisani? Baada ya kuvunja mlango? Hilo suala ni mchanganyiko wa mambo mengi hata udini pia upo!! Sisi tunaoishi mkoa wa pwani tunayaona na kama ni dhuruma tu kwani ktk tz nzima ni huku tu ndio serikali inawaonea?? Nenda shinyanga, bk huko wafugaji wanavyo nyanyasika na mifugo yao kutaifishwa mbona mauji ya aina hii hayapo?? Kwanini iwe pwani tu?? Tafakari
 
Mpaka hapo kila nyimbo itakayoimbwa haina maana!Uhai na usalama wa Wanakibiti,Ikwiriri na Kilwa ndiyo jambo la msingi.Wenye dhamana wachukue hatua.
 
Hayo ni magaidi ya kiislam tu, yanatafuta kuungwa mkono kwa ishu ya mkaa na mbao? Mbona walichoma kanisa? Nalo lina kizuizi cha mkaa?
Watakwisha wote na nyie mnaowasapoti kudadadeki!

We ni mpumbavu na una chuki na uislam kenge wewe,,
 
Je na hilo tukio la kuchoma mavazi kanisani? Baada ya kuvunja mlango? Hilo suala ni mchanganyiko wa mambo mengi hata udini pia upo!! Sisi tunaoishi mkoa wa pwani tunayaona na kama ni dhuruma tu kwani ktk tz nzima ni huku tu ndio serikali inawaonea?? Nenda shinyanga, bk huko wafugaji wanavyo nyanyasika na mifugo yao kutaifishwa mbona mauji ya aina hii hayapo?? Kwanini iwe pwani tu?? Tafakari

Hujaishi kule hujui kitu, nyamaza. Nilishuhudia samaki tu kwenye ndoo wanasimamishwa na afisa maliasili anataka rushwa.
 
Unajua hizi bunduki wameanza kupora maeneo ya mbali? Na watu hao wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo, na wote nia yao ni kupata eneo la kuunda kundi lenye msimamo mkali! Au unajitia wazimu!

Umejawa na chuki tu kwa uislamu, katika waliouwawa hakuna waislamu mule? Mnaipenda dunia halafu hamtaki kutoa haki.
Haya mtaje anayelipa mshahara, chuki zimewajaa ndo mana mnajistukia
 
Unajua hizi bunduki wameanza kupora maeneo ya mbali? Na watu hao wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo, na wote nia yao ni kupata eneo la kuunda kundi lenye msimamo mkali! Au unajitia wazimu!

Kwaiyo we mkenya shida yako itangazwe kuwa Yale ni matukio ya ugaidi ndio roho yako isuuzike???? magaidi WaPo kwenu huko Kenya
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom