..hivi kwanini mjane wa Mwangosi haishtaki serikali kwa mauaji ya mume wake?
..Askari aliyemuua Mwangosi alikuwa ktk kutekeleza amri aliyopewa na kamanda wake aliyekuwepo eneo la tukio.
..Kwa maoni yangu Mjane na familia wanastahili kulipwa fidia na serikali.
NB.
..Zaidi nilisikitishwa na uamuzi wa Raisi Kikwete kumpandisha cheo Afande Kamuhanda ambaye alikuwepo eneo la tukio siku alipouawa Mwangosi.
Cc
Mwanahabari Huru