RIP Legengs AVICII,
The Real star of Electronic Songs,
Ngoma zake kali kama Hey Boy, Waiting for Love and Levels.
Aina hii ya Music ina Mizuka sana, Manya Producers ama Composer wa hizi ni nyimbo sababu za vifo kuwa Shinikizo la Damu na pia Msongo wa Mawazo inaweza kuwa sababu.
Nyimbo zake zina High Temporate ni Above Normal.