Rio Paul atokelezea ki gentleman

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
958
Ladies and Gents, I present to you Mr Rio Paul

 
Wazazi walifurahi wamepata dume la mbegu zizini duh wahuni wanampanda yeye kweli wazazi wanavumilia mengi maana sumu ya panya haizidi buku ujue ila ndo vile wanakausha.
 
Millen kajipamba sana sasa kawa kama mdoli,huyo binti wa pembeni ashanichosha!
 
Nahisi wazazi wake wanaumia sana ila ndio tayari ni mtoto wao ila Mungu tusaidie tu wanetu wasije kuwa hivyo
 
bifu ni pale wewe mwanaume halafu unataka kuolewa/
una miguu mitatu halafu unataka kubokolewa/

hili ni bifu hili ni bifu aisee
hili ni bifu hili ni bifu mazee
 
Hivi kwa nn wanamitindo wetu wamekaa kishoga shoga. Sasa hicho nn?? Lord have mercy
 
Designer wakubwa kabisa ktk ulimwengu huu ni Gays ukiona mwanao wakiume yuko interest na fashion jiandae kusikia lolote aseeeee
 
Wazazi walifurahi wamepata dume la mbegu zizini duh wahuni wanampanda yeye kweli wazazi wanavumilia mengi maana sumu ya panya haizidi buku ujue ila ndo vile wanakausha.


Huyo kuna watu wanatembea na ma.vi yake kwenye kiberiti wanayanusa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…