I ilisha juniour JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 714 Reaction score 219 Oct 20, 2015 #1 Natafuta rim moja sport ya gx 100 pamoja na tairi lake kama ikiwezekana picha nimeweka hapo chini Attachments IMG_20150826_194137.jpg 224.1 KB · Views: 308 IMG_20150826_194051.jpg 187.3 KB · Views: 268 IMG_20150826_194030.jpg 171.9 KB · Views: 252
jbmukulu Senior Member Joined Jun 8, 2015 Posts 122 Reaction score 83 Oct 20, 2015 #2 Mimi naweza kukuibia mahali lakini nakushauri nenda dukani
I ilisha juniour JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 714 Reaction score 219 Oct 20, 2015 Thread starter #3 jbmukulu said: Mimi naweza kukuibia mahali lakini nakushauri nenda dukani Click to expand... Madukani nimepita maduka mengi wanagoma kuuza moja wanataka complete na ndo maana natafuta mtu anaeuza moja,
jbmukulu said: Mimi naweza kukuibia mahali lakini nakushauri nenda dukani Click to expand... Madukani nimepita maduka mengi wanagoma kuuza moja wanataka complete na ndo maana natafuta mtu anaeuza moja,
I ilisha juniour JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 714 Reaction score 219 Oct 22, 2015 Thread starter #4 Bado natafuta rim ya aina hii na sijapata,mwenye nayo ani pm
jbmukulu Senior Member Joined Jun 8, 2015 Posts 122 Reaction score 83 Oct 23, 2015 #5 Duh huko hamna mtaa wanauza used spare parts?
M mchakamchaka2 Senior Member Joined Nov 18, 2010 Posts 115 Reaction score 54 Oct 23, 2015 #6 Upo wap
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,825 Reaction score 858,625 Oct 23, 2015 #7 jbmukulu said: Mimi naweza kukuibia mahali lakini nakushauri nenda dukani Click to expand... Ushauri wa kwanza sio mzuri
jbmukulu said: Mimi naweza kukuibia mahali lakini nakushauri nenda dukani Click to expand... Ushauri wa kwanza sio mzuri
chinatown JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 1,232 Reaction score 1,109 Oct 23, 2015 #8 rim size ngapi kaka?