toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,935
- 12,480
Yes haulipwi hata mia, NFL wenyewe wanachofanya wanaigaramia ile maandaliz ya show, tiket ya ndege na vitu kama hivyo, sina uhakika na riri kuigharamia show yeye mwenyewe. Ila show ya Super Bowl huwa ina spike music sales za nyimbo za hao wasanii, justin timberlake aliwah perfome music sales zika spike mpaka 584%, lady gaga nae zikaenda mpaka 1000% so basically its all about money. Kisanii sasa incase bad gir riri anataka kudondosha album aidondoshe now sababu ile show imeangaliwa na watu wengi kuliko watu waloangalia main event, kama anataka kurud kwenye game muda ndio huu although she has Fenty and its doing great, and well, now she worth 1.4B, richer that hov who brought her to the mainstream industry..Hujui unachoandika.
Halftime show haulipwi hata mia. Ni kawaida hio toka hizo performance zimeanza, so hamna cha kusikitisha hapo
badgirl riri, mzuri,ana hela,ana kipaji,RIRI km RIRI.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mziki ni hela ukileta ubahili kutoboa ni kazi Dr Dree Mwaka jana kwenye Show ya Super Bowl,show yake katumia zaidi ya USD 7m.Kilichonisikitisha:
Hii show Rihanna hajalipwa hata Mia,
Maandaliz na kila kitu kagharamia yeye mwnyw ili kujitangaza.
Nnachojiuliza:
No lini wasanii wetu wabongo watafika huku au ndo Wameendekeza njaa mno,kila show wanataka waingize mpunga?
Huenda ndo maana hawatoboi[emoji848]
Sent using JamiiForums mobile app
Hilo Tamasha la Super Bowl halftime show wasanii wote waliopita hapo akiwemo Beyonce hua hawalipwi ila wanachofanya ni kugharamia mahitaji yote ya msanii katika tamasha hilo.... Malipo hujitokeza pale msanii husika atapanda chat kwenye mainstreams zote mfano nyimbo za Rihanna kama Rude Boy zimepanda na hata manunuzi ya bidhaa zake yamepanda......Kilichonisikitisha:
Hii show Rihanna hajalipwa hata Mia,
Maandaliz na kila kitu kagharamia yeye mwnyw ili kujitangaza.
Nnachojiuliza:
No lini wasanii wetu wabongo watafika huku au ndo Wameendekeza njaa mno,kila show wanataka waingize mpunga?
Huenda ndo maana hawatoboi[emoji848]
Sent using JamiiForums mobile app
Sema wewe humpendi Riri lakini Dunia nzima imeielewa ile show na ameprove once more she is a QueenHujaangalia show nzr wewe.
Yaan kati ya best shows za NFL half time hii hamna kabisa
Angalau Riri tunamuona akitoka kila mahali na baba wa watoto wake (joking)Mumemsema Jokate mbona kwa Rihanna amsemi, mimba mbili lakini hajaolewa
🏃🏃🏃
Kilichonisikitisha:
Hii show Rihanna hajalipwa hata Mia,
Maandaliz na kila kitu kagharamia yeye mwnyw ili kujitangaza.
Nnachojiuliza:
No lini wasanii wetu wabongo watafika huku au ndo Wameendekeza njaa mno,kila show wanataka waingize mpunga?
Huenda ndo maana hawatoboi[emoji848]
Sent using JamiiForums mobile app
Ile ya mwaka 2022 the best Superbowl perfomance everIla bado haijafikia Superbowl ya mwaka jana 2022 ya Dr.Dre,Slim Shaddy,50 cent,Mary blidge na Kendrik lamar
Kabarikiwa kila kitu.badgirl riri, mzuri,ana hela,ana kipaji,
Mie watu nawashangaa kabisa, toka nijitegemee NFL halftime na Grammy perfomances nyingi huwa naziangalia aidha live streamed au recorded, hasa recent years sijazikosa kabisa sababu hapo ndipo unaona ufundi wa muziki.Ukiita show ya Rihanna best performance ever .
Hii ya Michael Jackson(Super Bowl 1993 ) tuuiteje ?
[]
Chief/Madam with all due respect mimi ni fan wa rihanna na nilianza kumfuatilia sababu mm ni die hard fan wa JAY-Z. Ila penye ukweli lazima tuseme. Show ya Riri imeangaliwa na watu wengi kwa sababu walikua wamem-miss, alipotea sana kwenye game. Lkn ufundi kwenye ile show ni wa kawaida sana. Em nitajie half time shows alizozizidi Riri ili twende sawa. Kusema hii ni best perfomance ni kuwakosea heshima hata wale madada wawili wa kilatino (JLo na Shakira) walotumbuiza 2020Sema wewe humpendi Riri lakini Dunia nzima imeielewa ile show na ameprove once more she is a Queen
Best Perfomance ever.... hivi ulitaka akate mauno hali ya kua ni Mjamzito?Chief/Madam with all due respect mimi ni fan wa rihanna na nilianza kumfuatilia sababu mm ni die hard fan wa JAY-Z. Ila penye ukweli lazima tuseme. Show ya Riri imeangaliwa na watu wengi kwa sababu walikua wamem-miss, alipotea sana kwenye game. Lkn ufundi kwenye ile show ni wa kawaida sana. Em nitajie half time shows alizozizidi Riri ili twende sawa. Kusema hii ni best perfomance ni kuwakosea heshima hata wale madada wawili wa kilatino (JLo na Shakira) walotumbuiza 2020
Miaka almost 7 bila kuimba wala kuperfome,Mie watu nawashangaa kabisa, toka nijitegemee NFL halftime na Grammy perfomances nyingi huwa naziangalia aidha live streamed au recorded, hasa recent years sijazikosa kabisa sababu hapo ndipo unaona ufundi wa muziki.
Lkn team rihanna wanataka kuaminisha kitu ambacho sio kweli hata kidogo. Hii show ilikua ya kawaida sana, inawezekana imeangaliwa na watu wengi sababu tu Riri watu walikua wamemiss, lkn sio sababu ya uzuri wa show
Hii ndo sababu show iliangaliwa na watu wengi, lkn haikua na maajabu yyt. Narudia tena kwa mara ya mwisho, Audience tu ilikua imem-missMiaka almost 7 bila kuimba wala kuperfome,
Kilichofurahisha watu labda ni kummiss na kuimba hit songs ila unkita hii ni best Super Bowl half time show, unakuwa umepagawaMie watu nawashangaa kabisa, toka nijitegemee NFL halftime na Grammy perfomances nyingi huwa naziangalia aidha live streamed au recorded, hasa recent years sijazikosa kabisa sababu hapo ndipo unaona ufundi wa muziki.
Lkn team rihanna wanataka kuaminisha kitu ambacho sio kweli hata kidogo. Hii show ilikua ya kawaida sana, inawezekana imeangaliwa na watu wengi sababu tu Riri watu walikua wamemiss, lkn sio sababu ya uzuri wa show