Rift Valley View Point Mbeya

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,901
8,359
Wadau naulize sehemu ya kuangalia Bonde la Ufa mkoani Mbeya ,nimeona picha zake lakini sijui hiyo sehemu ipo eneo gani ,kwa anayejua naomba anijuze hapa naamini hapa ndio Google yetu
 
Nenda pale mlima loleza kwa juu, unaweza ona sehem yote ya bonde la ufa kwani limefika hadi maeneo ya songwe.
Na ni moja kati ya vivutio vizur vya utalii jijini mbeya
 
Njiani kama unatoka Mbeya kwenda chunya,ndipo ilipo HIGHEST POINT OF ALL TRUNK ROADS IN TANZANIA, pana ALTITUDE 2457m, LONGITUDE O8' 35 S na LONGITUDE 33' 25 E. Ukiwa hapo mzee kuna such a beautiful view of the rift valley, utaliona bonde la Usangu loote na Mbeya yooote, Pametengenezwa VIEW POINT nzuri itayokuwezesha kuona kwa uzuri.
 
Nenda mwambani juu mkwajuni chunya utaliona bonde la ufa la ziwa Rukwa kwa uzuri sana
 
Njiani kama unatoka Mbeya kwenda chunya,ndipo ilipo HIGHEST POINT OF ALL TRUNK ROADS IN TANZANIA, pana ALTITUDE 2457m, LONGITUDE O8' 35 S na LONGITUDE 33' 25 E. Ukiwa hapo mzee kuna such a beautiful view of the rift valley, utaliona bonde la Usangu loote na Mbeya yooote, Pametengenezwa VIEW POINT nzuri itayokuwezesha kuona kwa uzuri.
My dream kufika huko..... japo nipaone ktk uhai huu !!!
 
WP_20151117_012.jpg
 
Attachments

  • WP_20151117_008.jpg
    WP_20151117_008.jpg
    112 KB · Views: 94
Ukienda uende na camera kabisaaa, yani utafurahi mwenyewe. Uvae na koti kozi baridi ya pale si mchezo. In short kunae uzuri flani hivi amazing.
Mkuu ahsante na God bless you.. hizo gear zote na zana zote zipo intact !!
sasa nikifika Mbeya mjini ...ni anzie wapi kuelekea huko na mwendo wa saa ngapi? (hilo tu)
 
Njiani kama unatoka Mbeya kwenda chunya,ndipo ilipo HIGHEST POINT OF ALL TRUNK ROADS IN TANZANIA, pana ALTITUDE 2457m, LONGITUDE O8' 35 S na LONGITUDE 33' 25 E. Ukiwa hapo mzee kuna such a beautiful view of the rift valley, utaliona bonde la Usangu loote na Mbeya yooote, Pametengenezwa VIEW POINT nzuri itayokuwezesha kuona kwa uzuri.
Safi sana kwa Watanzania Elimu hiyo
 
Duh nimeishi Mbeya hadi nimehama sikuwahi kujua haya... Asante JF...ntarudi Mbeya kama mtalii sasa
 
Mkuu ahsante na God bless you.. hizo gear zote na zana zote zipo intact !!
sasa nikifika Mbeya mjini ...ni anzie wapi kuelekea huko na mwendo wa saa ngapi? (hilo tu)
Unafanya Mbeya-Chunya road. to reach the point it takes only 20-30 minutes. Njia ni nzuri sana, lami mwanzo mwisho. So unateleza tuu. Ukiulizia tuu njia ya kwenda chunya wenyeji watakuonyesha, ni karibu mnooo
 
Utalii wangu ujaaliwe...
Shukran shukraaa....
 
Na si huko tu, Mbeya kama unakwenda Kyela kutoka Mbeya mjini yaani njia yote ile kuna vivutio vingi sana kuanzia Uyolepale hadi kyela!
 
Njiani kama unatoka Mbeya kwenda chunya,ndipo ilipo HIGHEST POINT OF ALL TRUNK ROADS IN TANZANIA, pana ALTITUDE 2457m, LONGITUDE O8' 35 S na LONGITUDE 33' 25 E. Ukiwa hapo mzee kuna such a beautiful view of the rift valley, utaliona bonde la Usangu loote na Mbeya yooote, Pametengenezwa VIEW POINT nzuri itayokuwezesha kuona kwa uzuri.
A place to visit.
 
Back
Top Bottom