masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Lawama zingekuwa kwa wenye mamlaka , hivyo basi RIZ aache umbeya , awaletee maendeleo watu wa chalinzeingetokea tu wamepata tatizo lawama zingekuwa kwa nani?
Lawama zingekuwa kwa wenye mamlaka , hivyo basi RIZ aache umbeya , awaletee maendeleo watu wa chalinzeingetokea tu wamepata tatizo lawama zingekuwa kwa nani?
Mwambie jirani yako Riz aache umbeya , watu wa chalinze wanahitaji maendeleo, WCB hawahusiki na umaskini wa watu wa chalinze, halafu alivyo mnafiki mbona mazuri ya WCB utomuona kupost ila mabaya ndio upost kwa haraka , hivyo basi mwambie asiwe kimbelembele kama tai
Mkuu mbona umekomaa sana na hii comment kila sehemu?Maendeleo Hayana Chama
Shoga hiloKwaani we ke au me?
Jamani marehemu hasemwiShoga hilo