Tetesi: Ridhiwani Kikwete awavaa WASAFI, awatolea povu nje nje

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
16,302
2,000
Ila kweli aiseeh, walichofanya wasafi ilikua ni risk sana , it was jeopardizing the life of others kwa kweli , kitendo cha kula bata baharini kwenye boti tena wakiwa wanalewa bila life support jackets ulikua ni uzembe wa Hali ya juu , Tatizo mameneja wenyewe akili zao nao wanazijua wenyewe, mijitu mikubwa Ila prudent wala hekima hawana, wao wanachojua ni kumfuatilisha diamond tu , wako very rough they are not organized at all , mi ningeshukuru kwanza wangezama kidogo wakakiona cha mtema kuni naona ndo wangejifunza.

Ila na wewe Ridhiwan umbea uache, wivu tu unakusumbua, au unamuonea wivu diamond , kujifanya unawajali hovyo mxieew, sasa unamtag Shonza ili iweje? Wakikamatwa mnaanza midomo bring back nyonyo nyonyo.

Nime jaribu ku attach picha naona inagoma, Ila Ridhwan kapost kwenye ukurasa wake wa insta , picha ya wasanii wa wasafi wakiwa kwenye mtumbwi wakila bata huku wakiwa hawana life jackets , wambea mnisaidie kupost picha
 

scalethat

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
1,052
2,000
Hahahaaaa bina umejua kunikosha sio kwa kuchamba huku na huku.yaan mshitakiwa na mshitaki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom