B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Jana mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze ndugu Ridhiwani Kikwete alitoa mpya pale alipoahidi Zahanati kila kijiji cha jimbo la Chalinze, sasa najiuliza, ina maana mtoto wa nyoka ni nyoka? baba yake alitoa ahadi kama hizi mwaka 2005 na 2010 lakini nyingi bado hajazitekeleza sasa mtoto naye anaahidi vitu kama hivi ataviweza?
Kikwete yeye alienda mbali zaidi na kuahidi Bajaji kila zahanati kwa ajili ya akina mama wajawazito sijui hakufikiria vizuri hali anayokuwa nayo mwanamke mjamzito halafu tena umbebe kwenye bajaji?
Du!! kweli mtoto wa nyoka ni nyoka!!